Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

nzahaksm

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
18
Reaction score
32
Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
IMG_6896.jpeg
 
Sina uhakika sana
Ila Mm ninajua aina ya utapeli wa namna hiyo na ule wa kugeuza hela kuwa makaratasi.

Inakuwa hivi.
Kwanza wanatengeneza Demand . Ndio hiyo step uliyoko sasahiv.
Then kwenye kutafuta kwako kuna sehem tu utafanikiwa kuzipata, sema chache (labda coin 20 hiv).
unaweza pewa bure au kwa hela ndogo tu.

Ukishapeleka kwa hao matapeli watakupa hela nying as kuzinunua. Labda laki 5 na zaid wakat ww umetumia elfu 5 au 10 (mfano).

Ukirud kwa uliyechukua mara ya kwanza atasema hana , labda atakupa namba ya uende ukajaribu kwa mtu mwingne tena yawezekana anakaa mbali kidogo.

Huyo wa mbali atasema anazo nying ila anauza na bei sasa atakutajia kubwa.

Ukishaenda na kununua. Utarud ili uwauzie then matapeli unakuta hawapo.
Inakuwa wote wako kwenye chain moja

Na ndio ushatapeliwa.
 
Hata mm nishawah kusikia hki kitu, lazima wanunue bei nzur kwanza ili ukazitafute kwa wingi. Utauziwa na mnununuaji atatoweka utakula za uso. Wakiona una moja tu na huna tamaa ya kupiga hela kwenye mtego huo wanakataa kununua
 
Ninayo hii mwenye uhitaji anicheki
20260320_121341.jpg
 
Attachments

  • 20260320_121353.jpg
    20260320_121353.jpg
    396.1 KB · Views: 18
Back
Top Bottom