Je, ni kweli Serikali haina Dini?

maana yake ni kwamba serikali haina upande.... waislamu, wakristo wote watapata huduma sawa....
 
Ja
Kama wauaji inawatia kitanzi kwa nini hawa matapeli wahubiri , mitume wachungaji, manabii,maaskofu uchwara wanaotapeli mchana kweupe wanawaacha kuumiza wananchi??!!
 
Ja

Kama wauaji inawatia kitanzi kwa nini hawa matapeli wahubiri , mitume wachungaji, manabii,maaskofu uchwara wanaotapeli mchana kweupe wanawaacha kuumiza wananchi??!!
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu upo sawa au unashida mahali...???
 
Inaamini uwepo wa Mungu huwa kinachofanyika ni hawataki kuweka matabaka Kati ya nchi na wananchi wenyewe nafikiri umenielewa
Nimekyelewa mkuu Ila inakuwaje mtu anajificha kwenye kichaka cha dini na kuwatapeli wananchi m mchana kweupe serikali haichukui hatua yoyote kukomesha huu utapeli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…