mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
maana yake ni kwamba serikali haina upande.... waislamu, wakristo wote watapata huduma sawa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wauaji inawatia kitanzi kwa nini hawa matapeli wahubiri , mitume wachungaji, manabii,maaskofu uchwara wanaotapeli mchana kweupe wanawaacha kuumiza wananchi??!!Nafikiri uelewa ni tofauti hapa! Mi naelewa serikali Haina dini kwa maana hii watu wote itawahudumia bila tofauti ya dini zao ama tofauti zao ktk namna yoyote.
Pili serikali inamambo yake ambayo inasheria zake zinazoamuliwa kiserikali pasipo mitazamo ya kidini mfano mahakama zinavyoendesha kesi na hukumu, kwenye dini usiue lkn serikali ikikukamata na hatia ya mauwaji unalamba kamba!..
Fumbueni macho msichanganye vitu....
Kwa hiyo hii nchi ni ya wakristo na waislam ?maana yake ni kwamba serikali haina upande.... waislamu, wakristo wote watapata huduma sawa....
😂😂 Mkuu upo sawa au unashida mahali...???Ja
Kama wauaji inawatia kitanzi kwa nini hawa matapeli wahubiri , mitume wachungaji, manabii,maaskofu uchwara wanaotapeli mchana kweupe wanawaacha kuumiza wananchi??!!
Nimekyelewa mkuu Ila inakuwaje mtu anajificha kwenye kichaka cha dini na kuwatapeli wananchi m mchana kweupe serikali haichukui hatua yoyote kukomesha huu utapeli??Inaamini uwepo wa Mungu huwa kinachofanyika ni hawataki kuweka matabaka Kati ya nchi na wananchi wenyewe nafikiri umenielewa
Nijibu swali nililouliza😂😂 Mkuu upo sawa au unashida mahali...???
Ni unafique zaidi ya changa la machoAsante. Hapa naona kam kuna changa la macho!
Peleka mashitaka yako mahakamani uwashitaki na uende na uthibitisho wa tuhuma zako usiniletee balaa mie....😂Nijibu swali nililouliza