johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndoto za alinachaHivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.
Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
Tukutane baada ya October 28 , 2020. Tutajua nani anaota na nani yuko sahihi.Ndoto za alinacha
Halmashauri zimewashinda ndo mtaweza serikali kuu...mshindi ni CCM (Bara na Visiwani Zanzibar)Hivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.
Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
Kwani aliyesema pesa zote za halmashauri ziende serikali juu ni chadema au Magufuli wa CCM?Halmashauri zimewashinda ndo mtaweza serikali kuu...mshindi ni CCM (Bara na Visiwani Zanzibar)
Hahahahahaha! Labda chandimu muwe chama tawala cha tweeterHivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.
Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
Tukutane baada ya OctoberHahahahahaha! Labda chandimu muwe chama tawala cha tweeter
Toa upumbavu wako hapa.Inaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.
Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.
Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugai akiwa Waziri wa Kilimo ataongeza migogoro ya Wakulima na Wafugaji kwa sababu Hana akili ya kuongoza, zuzu flan hiviInaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.
Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.
Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Dalili ya mvua ni mawingu...Ushindi wa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi (Sera safi, kampeni safi)...upo hapo!yaaani hii mijamaa utazani tayar uchaguz umefanyika kwamba mnajua matokeo acheni undezi hii ndo mara yenu ya mwisho kutawala 20/25 ni chadema kwenda mbereeeeeeeeeee