iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
mnajuwa mnajipa presha bure sasa chadema wataongoza nchi gani ? hihii ya ccm? never wakakojoe wakalaleHivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.
Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?