Je, ni kweli Spika wa Bunge lijalo anaweza kuwa Stephen Masele na Ndugai kuwa Waziri wa Kilimo?

Hivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.

Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
mnajuwa mnajipa presha bure sasa chadema wataongoza nchi gani ? hihii ya ccm? never wakakojoe wakalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…