Je, ni kweli tambi za Santa Lucia zimebadilishwa jina?

Hapana sema ukweli huenda ikasaidia kuboresha ubora!

Kiukweli Tambi za Mo ni zaidi ya Ugali, hata uzifanyie mbwembwe vipi mitambi imeshikamana tu!
Hahaha halafu kuna juice za kampuni moja hapa siitaji day 1 nainywa nikajiuliza hii juice vipi formula iliyotumika ni zile juice za uji za kipindi kilee ambazo zilivuma zikapotea naona jamaa wamezirudisha ila kwa brand nyingine nilishtuka sana sikurudia tena kuzinywa ni juice za watoto ila ladha mbaya unaweza ukatapika
 
Pamoja na blueband na Kiwi. Hawa wameaminika mno hata aingie nani kwenye soko watu watatafuta zilezile za zamani. Mbaya zaidi ni brands za Kenya sio Tanzania
True mkuu....hizi brand hata zikielekea kufa makampuni makubwa yanawanunua wanaendelea kumaintain brand
 
Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.

Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia.

Je, kuna ukweli kwenye hili?

View attachment 3180999
A

Manufacturer wa Santa Lucia alikuwa nani na wa hizo Alivoila ni nani?
 
Jamani mnajaza Saver za JF sasa😂
baada ya kulamba teuzi, anapewa ruzuku kutoka kwenye hazina, ambayo ni kodi zetu,....so ...acha tuzijaze tu maana ni zetu🤣🤣
 
Hahaha halafu kuna juice za kampuni moja hapa siitaji day 1 nainywa nikajiuliza hii juice vipi formula iliyotumika ni zile juice za uji za kipindi kilee ambazo zilivuma zikapotea naona jamaa wamezirudisha ila kwa brand nyingine nilishtuka sana sikurudia tena kuzinywa ni juice za watoto ila ladha mbaya unaweza ukatapika
Wameamua kutulisha uchafu Wallaih!
 
Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.

Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia.

Je, kuna ukweli kwenye hili?

View attachment 3180999
SOma zote ni made from where??
Hapa walituchezesha tu walaji ziadimike ili tununue mitambi yao mibaya.
Heri hizo za olivoila kuna hizi za bwana Mo 🙌😂
Tambi zinanuka moshiii
 
Back
Top Bottom