Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wataalam waje kutujuzaTambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.
Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia.
Je, kuna ukweli kwenye hili?
View attachment 3180999