je ni kweli tcu wametoa post za ud n mzumbe?

je ni kweli tcu wametoa post za ud n mzumbe?

Kwa mwendo huu mkianza chuo kwenye representation mtapata tabu!!! Izo post zimetoka kwenye source gani.
 
Kwa mwendo huu mkianza chuo kwenye representation mtapata tabu!!! Izo post zimetoka kwenye source gani.

mkuu mbona ume generlize wote? huyo huyo kilazaaaa mwenzako! Kwanza co representation n presentation...! Huna ktu, ww n kilaza tuu
 
Mpuuzi huyu. Ondoa ujinga wako hapa.
 
Ajipange,alafu aje tena...............................,nenda then come back with well equipment,,,,.:fish:
 
hapo ni presenation na c representation..#kizazi cha mlugo....mi nacheka sana hichi kingereza chenu...mje mshikwe kwanza

Toa mwiba matakoni then ukae ndo utoe wa mguuni.
Nyani haoni kundule.
usicheke mamba kabla haujavuka mto

hayo yote yako.

"Presenation ndio nini"
Kilaza wewe.
 
Toa mwiba matakoni then ukae ndo utoe wa mguuni.
Nyani haoni kundule.
usicheke mamba kabla haujavuka mto

hayo yote yako.

"Presanation ndio nini"
Kilaza wewe.

thanks mkuu cuz umenifanya nicheke siku ya leo
 
Back
Top Bottom