nahisi huyu dogo amechaguliwa vyuo vya ngazi za diploma hasa kwanini anakuwa na mchecheto wa kuulizia eti TCU wametoa post za ud na mzumbe? bora uchaguliwe vyuo vya kata au private kwa sababu ukija kama UDSM first semester unaweza chezea sup kibao,afu ukija second semester unadisco kabisa wakati umeaga kwenu kuwa unakuja chuo kikuu kuchukua degree