Je, ni kweli Ugali wa Dona ni bora kuliko wa Sembe?

Ni raha sana kusoma makala ya kitaalamu ambayo imeandikwa vizuri,ikiwa na wewe una uelewa wa kinachozungumzwa
 
Ki ujumla Ugali ni chakula kisichofaa mazoea yanatuponza na ndio chanzo cha kudumaa mwili!
Ujiulize kwanini mataifa walioendelea hawali wanalishia mifugo?
 
mpumbavu ni Nani?
mpumbavu ni yule ambaye hata akielimishwa haelimiki ndio panya anakula kiini kwa hiyo wewe panya?
kila anachokula panya ndo Bora?
haya panya anakula uchafu na mabaki ya chakula na ww kale
Duu mtizame panya wewe unayejiita una akili huwezi kumkamata panya
 
We janaa unatumia ujuzi wako kuwadanganya watu panya mwenyewe ana akili sana maana hayo mahindi yeye hula kiini pekee na kuacha hayo masalia mengine.
Ila we kazana na sembe tuu siye tuachie dona

Panya wala dona
 
We janaa unatumia ujuzi wako kuwadanganya watu panya mwenyewe ana akili sana maana hayo mahindi yeye hula kiini pekee na kuacha hayo masalia mengine.
Ila we kazana na sembe tuu siye tuachie dona
Umekuwa panya leo
 
Kutokana na vyuma kukaza hapa ☝️ dona ndio inaonekana bora kuliko sembe.
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…