ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #321
😂😂Ahahahaha
😂😂Ahahahaha
Mpaka akanipigia maza mjengo an anataka ajue nimefuta nini aiseeee😂😂
Si umwambie 😂Mpaka akanipigia maza mjengo an anataka ajue nimefuta nini aiseeee
Hapana naona jau bana.. namzingua hv hv alafu siku nikiwa na kidumu nijitungueSi umwambie 😂
Kumbe hujaacha 😂😂Hapana naona jau bana.. namzingua hv hv alafu siku nikiwa na kidumu nijitungue
Nimeacha ila.ikitokea vimeo ka hv lazima nikiwashe aiseeeeKumbe hujaacha 😂😂
Fumba macho tuombe😂😂Nimeacha ila.ikitokea vimeo ka hv lazima nikiwashe aiseeee