Je, Ni Kweli Ukifika Kileleni Unakuwa Mwepesi?

Je, Ni Kweli Ukifika Kileleni Unakuwa Mwepesi?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Hello guys, guys, guys! 😄

Wale wapenzi wa sex, watu wa maloveee... ❤️
Wale wa utamuuuu... 😅

Kuna msemo ambao nimekuwa nikisikia mara kwa mara: "Nimekojoa, nikawa mwepesi."

Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?

Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?

Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?

Umewahi kusex na mtu na usifike kilele ? Ulijisikiaje ?
Au hujawahi kufika kabisa mwanetu!

ShesRise_1 ✋️
Kulombana sio anasa
 
Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?
Ushawahi kula Supu ya nyama ya jembe laini ,chapati mbili zilizopikiwa na samli na pepsi baridi ,kisha ukashushia na maji baridi? Hakuna kitu kinachofikia huo msosi kwa utamu.
 
Back
Top Bottom