ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #41
Swahili?Orgasim is a portal to the outside world
Swahili?Orgasim is a portal to the outside world
😅😅😅 Aibu naona mimi.Mimi nikifika kilele hua mwepesi kama unyoya karibu ndani ya mada binti sayuni
Mimi nikifika kilele hua mwepesi kama unyoya karibu ndani ya mada binti sayuni
Ukisema uikamie kwa kwenda round 3+, ukipishana na gari barabarani unaweza kusombwa na upepo wake 🤪Weee miguu inaisha uroto uwiiii unakua mwepesi mpaka unapepesuka dadekii🔥🔥🔥
Hahaha........ndiyo muwe mnatoa code mapema ili muwe mnafikishwa kibo 🤭Vikoba Which sie kufika kilele inabidi mtu uwe umemuelewa sana
Na akiwa fundi basi raha tupuuuuuu
Hata kama unadaiwa vikoba ukipata fundi akachezea antena aaaah connected labda kama antena iliondoka na mjerumani
Mi nipo kwenye asilimia 20Sa itakuwaje maana tafiti zinasema asilimia 80 ya wanawake hawafikagi huko
Sasa baadi ya kusaidiwa kua timamu unalalama niniAkili hua haipo hapo mpaka utoe bao ndo wenge linaisha hata mwili sasa unarudi sawa ...
Utamuuuu fulani hivi misuri ya uke kubana na kuachiaHuwa unajuaje kama "umefika kileleni"? 😊
Wewe ni mdogo sana?Huu uzi wa wakubwa sijui hata nimefikaje huku!
Acha niutafute mlango wakutokea.
Kazia hapo kwenye Sana.Wewe ni mdogo sana?
Raha ya ngoma uingie mwenyewe uchezeHivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?
Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?
Hakuna, ile ladha ni matata mnoNa swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?
Asante mleta uziHello guys, guys, guys! 😄
Wale wapenzi wa sex, watu wa maloveee... ❤️
Wale wa utamuuuu... 😅
Kuna msemo ambao nimekuwa nikisikia mara kwa mara: "Nimekojoa, nikawa mwepesi."
Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?
Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?
Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?
Umewahi kusex na mtu na usifike kilele ? Ulijisikiaje ?
Au hujawahi kufika kabisa mwanetu!
ShesRise_1 ✋️
Kulombana sio anasa
Et unakamia lol utasombwa kweli na upepo🤣🤣🤣Ukisema uikamie kwa kwenda round 3+, ukipishana na gari barabarani unaweza kusombwa na upepo wake 🤪
Hahaha........ndiyo muwe mnatoa code mapema ili muwe mnafikishwa kibo 🤭
😂Kuwa serious kidogo, changia hoja.
Hapa kuna suala la wepesi na uzito.
Pia kufika na kutokufika. Mwisho unafananisha lombe ya kufika na kitu gani?
si ndio we msubiri tu aje😆Mzee wa kukoleza
Unasema utamu wake hakuna cha kulinganisha et🤣🤣Raha ya ngoma uingie mwenyewe ucheze
Hakuna, ile ladha ni matata mno
Kwa hiyo wewe huwa unakuwa mwepesi au namna gani?Mi nipo kwenye asilimia 20
Karibu kijana tu refreshAsante mleta uzi
Nipo nasoma maoni ya wataalamu wa hii kada.