ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #101
aH
Huyo puwa breni kaacha mishangazi nowadays anauza tomato
ππππWewe hulombani mpka weekend acha uchoyo mpe mwenzio acha kumpimia
tuanze na ww useme sasaWengi humu ni mabinti sayuni hawajamiiani π€£π€£
Utaacha ndala.Kama unajijua una aibu huku usije
Siamini Poor Brain unajenga mdogo wanguπameshaanza kujenga ujue
a
YessssUtaacha ndala.
Yule mganga au ?Hapana mwenyewe atakuja utamuona π
Mimi nimeshasema huko juutuanze na ww useme sasa
yupo kwa mbande karibu na nduguye dronedrakeSiamini Poor Brain unajenga mdogo wanguπ
Dah ngoja waje kukuzodoayupo kwa mbande karibu na nduguye dronedrake
Fleva ya msisimko na climax ni vitu viwili tofauti ila Msosi unaanza Climax kuanzia finyango la kwanza mpaka mwisho.... π πWe mzee vip watu wana anza kusisimka kuanzia dendaa eboooo!
Tahadhari kabla ya hatari kula ushibeππππ
Si umeona hapo kuna kuishiwa nguvu miguuni nafikiria ijumaa ni lete mrejesho nikizidisha mje wodi ya kibasila au mwaisela.
atakuja soonAhahha mzabzab atakuwa maeneo ya chako ni chako anakula vichwa pale.
Nakubali kishingo upande πFleva ya msisimko na climax ni vitu viwili tofauti ila Msosi unaanza Climax kuanzia finyango la kwanza mpaka mwisho.... π π
Naona umeota mapembe.anatuchukulia kama madako yakoπ€£π€£
ooh I mean yak, yakeπ€ Simu hizi
Ahahaha hapo anawaza tu mbususu anapigwa na vumbi.atakuja soon