Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Naona awamu hii, hadi sementi mkiambiwa inaongeza nguvu za kiume mtakula.
Pumba.fu sana vijana wengi wenye tabia hizi za kihafidhina na kishenzi.
Ttzo madem wanapenda hela so lazma vjana wahangaike kuwashugulikia ipasavyo
Mbona simenti tushaanza kula kitambo ila haina stimu kihivyo kama gundi na lile vumbi la Kongo. Kwani wewe hutumii au unajipiga vidole tu kujiridhisha?
Hapana na pia sijawahi kukutana nao wote ambao nmewahi kuwa nao walikua na nguvu zao za asili tuuUnapenda wanaotumia vumbi?!
KulaMkuu mkongo ni balaa, kama ukiitumia kwa mke wa mtu jiandae kufa maana atakuganda milele
Umeshawahi kutana nalo?Ni kweli, vumbi noma.....
Dawa kuu na bora ni lishe bora ipatikanayo kwa wakati. Kula karanga mbichi tafuna mihogo, kula dona safi, maziwa na matunda kula vyakula vya kusafisha figo sana kama asali nyuki wadogo mixture na tangawizi and tunguu swaumu angalau twice a week hutajuta wala kuhangaika na vumbi ya congo. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa hasa naMkuu mkongo ni balaa, kama ukiitumia kwa mke wa mtu jiandae kufa maana atakuganda milele
Tatizo, nimeona wakongo fulani wanasema hiyo vumbi ukiizoea tu rungu yako haitaweza kuua hata sisimizi bila kulishwa hiyo vumbi.
Yaani rungu inakuwa tegemezi tena inakufa kabisa .
Kwa hiyo, itumieni tu matokeo na mrejesho wake utaujua mwenyewe baada ya miaka miwili ijayo.
Hata kukojoa mkojo wa kawaida utakuwa huwezi.
Endeleeni ivyo hivyo, matokeo mtayaona na mtafurahia hadi kukojoreshwa kama vitoto vidogo vya mwaka mmoja.
Kweli mkuu, hapo dakika 30 mpaka 40+ kitu cha kawaida. Wanaume tujue namna ya kuitunza miili yetu (msosi+mazoezi).Dawa kuu na bora ni lishe bora ipatikanayo kwa wakati. Kula karanga mbichi tafuna mihogo, kula dona safi, maziwa na matunda kula vyakula vya kusafisha figo sana kama asali nyuki wadogo mixture na tangawizi and tunguu swaumu angalau twice a week hutajuta wala kuhangaika na vumbi ya congo. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa hasa na
1.kukosa lishe bora.
2.ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya.
3.kutopangilia vizuri ufanyaji wa mapenzi.
4.ukosefu wa elimu ya mapenzi
5.kazi nzito kupindukia zisizoendana na lishe.
6.uchafu wa mwili.
7.ajali
8.n.k (humu ndimo na kurogwa kwaweza kuwemo kama unaamini).
Hahaha nomasure kuna demu kanikimbia kisa nasugua sana kwa muda mrefu ,ingawa Nina kibamia
mkuu nipmkaka hyo kitu noma sana mm ni shuhuda nilikaa km lisaa napiga mfululizo bila kukojo,yaan mmmh unaeza ukakesh mpk asubh bila kuchoka baadae takutumia namba ya mshkaj aliyeniuzia,nilimpata humuhumu
Waache,tutakuja kuwasaidia wake zao.Ngoja waendelee kutumia vumbi sijui la Acasia/kongoTatizo, nimeona wakongo fulani wanasema hiyo vumbi ukiizoea tu rungu yako haitaweza kuua hata sisimizi bila kulishwa hiyo vumbi.
Yaani rungu inakuwa tegemezi tena inakufa kabisa .
Kwa hiyo, itumieni tu matokeo na mrejesho wake utaujua mwenyewe baada ya miaka miwili ijayo.
Hata kukojoa mkojo wa kawaida utakuwa huwezi.
Endeleeni ivyo hivyo, matokeo mtayaona na mtafurahia hadi kukojoreshwa kama vitoto vidogo vya mwaka mmoja.
Aiseeeeh
Hadi cement mnakula!?
Mimi ni Mwanaume timamu. Situmii hizo supplement.
Nakula vizuri, mazoezi, napumzika, Nalala vizuri kwa hiyo napiga papuchino ya manzi wangu bila huo uganga wa kikongo.
Dawa kuu na bora ni lishe bora ipatikanayo kwa wakati. Kula karanga mbichi tafuna mihogo, kula dona safi, maziwa na matunda kula vyakula vya kusafisha figo sana kama asali nyuki wadogo mixture na tangawizi and tunguu swaumu angalau twice a week hutajuta wala kuhangaika na vumbi ya congo. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa hasa na
1.kukosa lishe bora.
2.ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya.
3.kutopangilia vizuri ufanyaji wa mapenzi.
4.ukosefu wa elimu ya mapenzi
5.kazi nzito kupindukia zisizoendana na lishe.
6.uchafu wa mwili.
7.ajali
8.n.k (humu ndimo na kurogwa kwaweza kuwemo kama unaamini).
Sh.ngapi kakakaka hyo kitu noma sana mm ni shuhuda nilikaa km lisaa napiga mfululizo bila kukojo,yaan mmmh unaeza ukakesh mpk asubh bila kuchoka baadae takutumia namba ya mshkaj aliyeniuzia,nilimpata humuhumu