Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Lakini naamini hiyo siri inaweza kujulikana endapo tafiti za kina zikifanyikaKila kitu unachokiona kina usiri ndani yake na je unaijua siri hiyo? Hilo ndio swali
Ubunifu wa watu wa zamani ni katika miundo na michoro yao, majengo ya sasa hayana ubunifu zaidi ya kuweka vioo mwanzo mwishoMatumizi ya vioo badala ya cement kwenye ukuta sio ubunifu
Wewe linganisha tuu old vs new archUbunifu wa watu wa zamani ni katika miundo na michoro yao, majengo ya sasa hayana ubunifu zaidi ya kuweka vioo mwanzo mwisho
Inawezekana kabisa. Kwasababu kumbuka kila kitu ilibidi kifanyike kwa mikono.Kwamba majengo ya zamani yalikuwa ya gharama kubwa kuliko ya sasa?
Ubunifu wa sasa ukilinganisha na wa zamani haulingani, zamani walikua na ubunifu mzuri na wakuvutia tofauti na sasaWewe linganisha tuu old vs new arch
Lakn kusema hakuna ubunifu kwenye ujenzi wa sasa utakuwa unakosea
Na hiyo ndyo tofauti kubwa, saivi ubunifu hakuna zaidi ya rangi na vioo.Inawezekana kabisa. Kwasababu kumbuka kila kitu ilibidi kifanyike kwa mikono.
Majengo ya sasa hakuna nakshi yoyote ni plasta na rangi kwisha kazi.
View attachment 3071243
Huna akili mzee yaani unafananisha majengo ya Sasa na zamani mzee ulishatembea Dubai kidogo maana kama umekurupuka usingiziniNa hiyo ndyo tofauti kubwa, saivi ubunifu hakuna zaidi ya rangi na vioo.
Kuhusu gharama za ujenzi, sahivi gharama ni kubwa kwani kuna matumizi ya mashine na vifaa vingine, lakini zamani walitumia mikono na nguvu kazi ya watu.
Majengo ya sasa hayana ubunifu kama ya zamani na hilo lipo wazi, usipagawe na majengo marefu ya vioo mkuu, tazama miundo ya majengo ya zamani ndyo utajua utofauti upo wapi.Huna akili mzee yaani unafananisha majengo ya Sasa na zamani mzee ulishatembea Dubai kidogo maana kama umekurupuka usingizini
Kama nimemuelewa mleta mada anachozungumzia yeye ni ile "workmanship" kwa maana ya nakshi nakshi za kupendezesha hayo majengo, na sio ukubwa/urefu wa jengoHuna akili mzee yaani unafananisha majengo ya Sasa na zamani mzee ulishatembea Dubai kidogo maana kama umekurupuka usingizini
Kweli kabisa mkuu, unadhani ni kwanini hatujui mbinu zilizo tumika kujenga majengo ya zamani?Wa zamani walikuwa Bora sana mifano Iko hai
1. Mnara wa babeli, mpk Mungu akainuka kwenye kiti akasema yes!. sio kazi rahisi kimnyanyua Mungu kutoka kwenye kiti chake Cha enzi
2. Piramidi za Egypt, ukifanikiwa kufika pale utajiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu mpk Leo haijulikani ni teknolojia gani ilitumika kujenga zile piramidi
Sahihi kabisa, na hiyo ndyo maana ya ustadi na ubunifuKama nimemuelewa mleta mada anachozungumzia yeye ni ile "workmanship" kwa maana ya nakshi nakshi za kupendezesha hayo majengo, na sio ukubwa/urefu wa jengo
Sawa Mkuu, lakini nadhani hujaelewa ni kipi nimemaanisha, labda urudie kusoma uzi upya.Kuna vitu viwili either mtoa mada ni Ana mtindio wa ubongo au anajitoa ufahamu.
Ulinganishe majengo ya zamani na sasa na kusema zamani ni mazuri sijui Ubuntu ni kukosa akili.
Kama Colosseum ya Rome ina miaka 2000 almost, lakini bado imesimama kama imejengwa mwaka jana 🤣🤣🤣Sahihi kabisa, watu wa zamani walikuwa wabunifu na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.
Umahiri wa majengo yao hauwezi kufikiwa na majengo ya sasa, pia mbinu walizo tumia kujenga hatuzijui au zimefichwa kama siri
Kama Colosseum ya Rome ina miaka 2000 almost, lakini bado imesimama kama imejengwa mwaka jana 🤣🤣🤣
Kama hiyo ni DISORDER, basi mimi nimezama kabisa na siwezi acha kusifu vitu vya zamaniHii mentality ya kusifu uzamani hata pasipo na sifa nayo ni aina mpya ya DISORDER
Nilitaka nipoati majengo ya kisasa ila nimeona hii ni DISORDER bado ata reply ujinga.