Je ni kweli wajenzi wa zamani walikuwa na uwezo wa kubuni na kuunda kwa ustadi na ufanisi mkubwa kuliko wa sasa?

Je ni kweli wajenzi wa zamani walikuwa na uwezo wa kubuni na kuunda kwa ustadi na ufanisi mkubwa kuliko wa sasa?

Ubunifu wa watu wa zamani ni katika miundo na michoro yao, majengo ya sasa hayana ubunifu zaidi ya kuweka vioo mwanzo mwisho
Wewe linganisha tuu old vs new arch
Lakn kusema hakuna ubunifu kwenye ujenzi wa sasa utakuwa unakosea
 
Kwamba majengo ya zamani yalikuwa ya gharama kubwa kuliko ya sasa?
Inawezekana kabisa. Kwasababu kumbuka kila kitu ilibidi kifanyike kwa mikono.

Majengo ya sasa hakuna nakshi yoyote ni plasta na rangi kwisha kazi.
Screenshot_20240815-220817_Chrome.jpg
 
Inawezekana kabisa. Kwasababu kumbuka kila kitu ilibidi kifanyike kwa mikono.

Majengo ya sasa hakuna nakshi yoyote ni plasta na rangi kwisha kazi.
View attachment 3071243
Na hiyo ndyo tofauti kubwa, saivi ubunifu hakuna zaidi ya rangi na vioo.

Kuhusu gharama za ujenzi, sahivi gharama ni kubwa kwani kuna matumizi ya mashine na vifaa vingine, lakini zamani walitumia mikono na nguvu kazi ya watu.
 
Huna akili mzee yaani unafananisha majengo ya Sasa na zamani mzee ulishatembea Dubai kidogo maana kama umekurupuka usingizini
 
Huna akili mzee yaani unafananisha majengo ya Sasa na zamani mzee ulishatembea Dubai kidogo maana kama umekurupuka usingizini
Majengo ya sasa hayana ubunifu kama ya zamani na hilo lipo wazi, usipagawe na majengo marefu ya vioo mkuu, tazama miundo ya majengo ya zamani ndyo utajua utofauti upo wapi.
 
Wa zamani walikuwa Bora sana mifano Iko hai

1. Mnara wa babeli, mpk Mungu akainuka kwenye kiti akasema yes!. sio kazi rahisi kimnyanyua Mungu kutoka kwenye kiti chake Cha enzi

2. Piramidi za Egypt, ukifanikiwa kufika pale utajiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu mpk Leo haijulikani ni teknolojia gani ilitumika kujenga zile piramidi. Nilipofika pale binafsi nilinyoosha mikono
 
Wa zamani walikuwa Bora sana mifano Iko hai

1. Mnara wa babeli, mpk Mungu akainuka kwenye kiti akasema yes!. sio kazi rahisi kimnyanyua Mungu kutoka kwenye kiti chake Cha enzi

2. Piramidi za Egypt, ukifanikiwa kufika pale utajiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu mpk Leo haijulikani ni teknolojia gani ilitumika kujenga zile piramidi
Kweli kabisa mkuu, unadhani ni kwanini hatujui mbinu zilizo tumika kujenga majengo ya zamani?

Je zimefichwa kwa makusudi, na kwa lengo gani hasa?
 
Kuna vitu viwili either mtoa mada ni Ana mtindio wa ubongo au anajitoa ufahamu.

Ulinganishe majengo ya zamani na sasa na kusema zamani ni mazuri sijui Ubuntu ni kukosa akili.
 
Sahihi kabisa, watu wa zamani walikuwa wabunifu na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.

Umahiri wa majengo yao hauwezi kufikiwa na majengo ya sasa, pia mbinu walizo tumia kujenga hatuzijui au zimefichwa kama siri
Kama Colosseum ya Rome ina miaka 2000 almost, lakini bado imesimama kama imejengwa mwaka jana 🤣🤣🤣
 
Hii mentality ya kusifu uzamani hata pasipo na sifa nayo ni aina mpya ya DISORDER

Nilitaka nipoati majengo ya kisasa ila nimeona hii ni DISORDER bado ata reply ujinga.
 
Back
Top Bottom