Je ni kweli wajenzi wa zamani walikuwa na uwezo wa kubuni na kuunda kwa ustadi na ufanisi mkubwa kuliko wa sasa?

Mchoro wa mwisho ..watu wa teknolojia wametumia idea ya kutumia mchoro wa jengo la kiiman , kama unganiisha wazo lake la chip [ kazi ya chip unaijua ] basi inashabihiana na hiyo Flow of Energy...ukiwa na Chip ni Flow of Technology
 
Mchoro wa mwisho ..watu wa teknolojia wametumia idea ya kutumia mchoro wa jengo la kiiman , kama unganiisha wazo lake la chip [ kazi ya chip unaijua ] basi inashabihiana na hiyo Flow of Energy...ukiwa na Chip ni Flow of Technology
Umeeleza vyema kabisa mkuu, inamaana katika mkusanyiko wa watu kwenye nyumba ya ibada kunakuwa na Energy.

zamani walijua namna ya kuiongoza na kuitumia, lakini sasa hivi nyumba za ibada zimesheheni spika na vinanda tu kila upande.
 
Walijua kutumia Frequencies kama inavyosemekana

Unajua Frequency zikipigwa na zikavibrate kwenye surface by a Resonance zinatengeneza umbo la kitu furani pale. So kwakutumia mistari au points (Geometrically) kukawa Kunapatikana maumbo mengi tofaut,

Na Frequency ni nyingi, Alaf pia wanasema Boxed structures zina Hali ya kupoteza Energies inside, Hivyo ndo mana Majengo ya zamani yana muundo wa curve or curved pillar ili kutunza Energies...Ni kama vile concept ya kwenye mitungi ya gesi ipo na shape ile na sio with the Angles.

Mkuu Tresor Mandala yuko sawa aisee

So Ni Matumizi ya Deep knowledge vs Shallow
 
Ni sahihi usemayo, najua majengo mengi ya zamani za kale yalijengwa huku wajenzi wakiaacha alama ambazo km zinatafsiriwa sahihi zinatoa maana

Wajenzi wa sasa hawana codes za zama zao na ubunifu wao

Ujenzi wa majengo hayo ya kale ambayo tunaambiwa wajenzi ni Freemason ni ile michoro ya mapangoni ,mababu walikua wakichora kwa codes
 
Mkuu inamaana nyumba za sasa ambazo zipo na angles zinapoteza Energy? Kama ni hivyo basi tunaishi katika sehemu ambazo tunakosa kunufaika na nguvu za asili.
 
Hamna kitu nenda kasome TARTERIAN EMPIRE
Unajua huu ni kama mjadala wa kulinganisha hiki na kile. Bado nakuambia kwa sasa ni zaidi ya zamani
Unajua mkisikia zamani mnaamini hakuna kitu kizuri au bora kingefanyika, hivyo vile bora ndio mnashangazwa navyo
 
Waliojenga pyeramids za Misri unawaweka katika kundi gani?
Walifanya cha tofauti na bora, lakini hapa ni kuangalia kwa wingi kulingana na nyakati
Common sense tu sasa hivi Kuna structures nyingi ambazo kwa zamani isingewezekana na point yangu ndio ipo hapo
Vile vilivyokua vigumu nyakati hizo, kwa sasa ni vitu rahisi. Imagine tu Sasa m hivi tuna hadi tunnels za underwater zenye urefu zaidi ya km 50
 
Kutengeneza curved structures ilikuwa ni matumizi ya deep knowledge na sasa hivi kutengeneza hizi traditional flat sided structures ni shallo knowledge?

Bro kadri muda unavyozidi kwenda binadamu hutafuta kitu rahisi na nafuu kuanzia kugharamia Hadi kwenye kutumia.

Curved structures hazina maajabu yoyote hata sasa inawezekana kujengwa, lakini ili iweje? Ikiwa Kuna hizi boxy structures ambazo zinaokoa muda na pesa.

Btw sehemu zinazohitajika kujegwa curved zinajengwa hata sasa
 
Kweli kabisa, mpaka leo bado lipo imara. Haya majengo ya sikuhizi baada ya miaka kadhaa tunaanza kuziba nyufa na viraka vya rangi iliyo liwa na fangus.
Hapa unataka kuongopa. Yapo majengo yalijengwa zamani hayakudumu kulingana na mjenzi alivyojenga
Yapp ya sasa yanadumu kulingana na mjenzi alovyojenga
Lakini suala la kudumu au la sio suala architectural, ni mazingira pia huchangia. Zamani ilikua rahisi kupaua kwa hard woods lakini sasa hivi unapata wapi hard wood upaue? Mawe yalikua easily available, lakini sasa hivi mawe yapo wapi? Labda uende singida mwanza tabora shy n.k
 
Walitumia vitu vingi zaidi ya mawe, lakini ubora wa majengo yao ni jawabu kwamba walikuwa na ufanisi mkubwa.
Kwenye ufanisi kulinganisha na Sasa hiyo nitakaa kabisa, Sasa hivi una train inahoweza kwenda km 1000 kwa saa, unafikiri bila ufanisi mkubwa ingewezekana vipi? Sasa hivi unaweza tembea kwenye undersea tunnel ya km 50, bila ufanisi ingewezekana vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…