Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mleta mada na wachangia mada mnapishana sehemu ndogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sijawahi kusoma, kinahu
Hiyo teknolojia yao ya zamani naamini ina siri kubwa, ni zaidi ya tunavyo fi
Hiyo Michoro Ina Siri nzitoNa vipi kuhusu ule mchoro wa kwenye device na kwenye temple, Umeuelewa vipi?
Mchoro wa mwisho ..watu wa teknolojia wametumia idea ya kutumia mchoro wa jengo la kiiman , kama unganiisha wazo lake la chip [ kazi ya chip unaijua ] basi inashabihiana na hiyo Flow of Energy...ukiwa na Chip ni Flow of TechnologyHabarini za wakati huu wadau...
Tupo katika dunia au kizazi cha teknolojia na mapinduzi makubwa katika nyanja zote ambazo zinahusu teknolojia na ujuzi, lakini haina maana kwamba waliopita waliishi katika dunia au kizazi cha giza kama ambayo tunaambiwa.
Ukitizama majengo ambayo yalijengwa zamani utagundua kuna utofauti mkubwa na sasa, ubunifu na ufanisi katika ujenzi ulikuwa mkubwa hapo zamani.
Leo hii kuna architecture's ambao wanadai wanabuni na kuunda majengo ya kisasa lakini ukiyatazama hakuna ubunifu zaidi ya matumizi ya rangi na vioo tu.
View attachment 3071134
Majengo ya zamani yana ubunifu mkubwa na yamewekwa nakshi ambazo bado hatujui walitumia nini kujengea au kuchorea. Licha ya ubunifu, majengo hayo pia yana uimara wa kudumu kwa muda mrefu.
Bado hakuna maelezo rasmi ya ni namna gani walijenga majengo hayo au ni vifaa gani walitumia katika ujenzi huo.
Japo wengi wanaamini kwamba kwa sasa ujenzi wa majengo umerahisishwa na kuwa simple lakini mimi naamini ni ukosefu wa ubunifu na uvivu wa kubuni na kufikiri.
BAADHI YA MICHORO ILIYOMO KATIKA MAJENGO YA ZAMANI.
Katika hali ya kushangaza, kumekuwepo na majengo ya zamani ambayo ndani yake kuna michoro au miundo ambayo inafanana na ile iliyopo katika vifaa vya kiteknolojia vya kisasa.
![]()
Ni dhahiri kwamba michoro hiyo imeigwa kutoka kwa stadi za watu wa zamani, Je lengo la michoro hiyo katika vifaa vya kisasa ni lipi?
Kama picha inavyo onyesha, huo ni mchoro mmoja katika sehemu mbili tofauti. Baadhi ya wachunguzi wanadai huo ni mchoro unao ashiria flow of energy na Hilo jengo lilikuwa ni Temple kwaajili ya ibada.
Bado najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mchoro ndani ya nyumba ya ibada na kifaa cha kiteknolojia? Yaani (Chip device)
Mdau, unadhani au kufikiri ni ipi sababu ya kuiga na kuiweka michoro ya zamani katika vifaa vya kisasa?
Karibu........
Umeeleza vyema kabisa mkuu, inamaana katika mkusanyiko wa watu kwenye nyumba ya ibada kunakuwa na Energy.Mchoro wa mwisho ..watu wa teknolojia wametumia idea ya kutumia mchoro wa jengo la kiiman , kama unganiisha wazo lake la chip [ kazi ya chip unaijua ] basi inashabihiana na hiyo Flow of Energy...ukiwa na Chip ni Flow of Technology
Lakini hiyo teknolojia yao hatuijuiZamani na Sasa, Zamani wanachukua point nyingi sababu technology ya Zamani ni technology ya Zamani yaani ni ya Zamani haijachakachuliwa
Hahahahaha, michoro mingi inabeba tasfiri ,sasa nani wakutafsiriUmeeleza vyema kabisa mkuu, inamaana katika mkusanyiko wa watu kwenye nyumba ya ibada kunakuwa na Energy.
zamani walijua namna ya kuiongoza na kuitumia, lakini sasa hivi nyumba za ibada zimesheheni spika na vinanda tu kila upande.
Yaaani yaaniHahahahaha, michoro mingi inabeba tasfiri ,sasa nani wakutafsiri
Manson wanayo wameificha makanisa mengi ya Zamani wamejenga wao acha haya ya Siku hizi yanayojengwa na wakina fundi Bakari na fundi JumaLakini hiyo teknolojia yao hatuijui
Ni sahihi usemayo, najua majengo mengi ya zamani za kale yalijengwa huku wajenzi wakiaacha alama ambazo km zinatafsiriwa sahihi zinatoa maanaWalijua kutumia Frequencies kama inavyosemekana
Unajua Frequency zikipigwa na zikavibrate kwenye surface by a Resonance zinatengeneza umbo la kitu furani pale. So kwakutumia mistari au points (Geometrically) kukawa Kunapatikana maumbo mengi tofaut,
Na Frequency ni nyingi, Alaf pia wanasema Boxed structures zina Hali ya kupoteza Energies inside, Hivyo ndo mana Majengo ya zamani yana muundo wa curve or curved pillar ili kutunza Energies...Ni kama vile concept ya kwenye mitungi ya gesi ipo na shape ile na sio with the Angles.
Mkuu Tresor Mandala yuko sawa aisee
So Ni Matumizi ya Deep knowledge vs Shallow
Waliojenga pyeramids za Misri unawaweka katika kundi gani?Wa sasa ni zaidi sababu wamepata elimu kubwa na teknolojia imesaidia hivyo wanaweza kubuni structure ya aina yoyote na ikawezekana kujengwa eneo lolote(rejea palm Jumeirah - Dubai)
Mkuu inamaana nyumba za sasa ambazo zipo na angles zinapoteza Energy? Kama ni hivyo basi tunaishi katika sehemu ambazo tunakosa kunufaika na nguvu za asili.Walijua kutumia Frequencies kama inavyosemekana
Unajua Frequency zikipigwa na zikavibrate kwenye surface by a Resonance zinatengeneza umbo la kitu furani pale. So kwakutumia mistari au points (Geometrically) kukawa Kunapatikana maumbo mengi tofaut,
Na Frequency ni nyingi, Alaf pia wanasema Boxed structures zina Hali ya kupoteza Energies inside, Hivyo ndo mana Majengo ya zamani yana muundo wa curve or curved pillar ili kutunza Energies...Ni kama vile concept ya kwenye mitungi ya gesi ipo na shape ile na sio with the Angles.
Mkuu Tresor Mandala yuko sawa aisee
So Ni Matumizi ya Deep knowledge vs Shallow
Nikweli majengo mengi yakizamani yamejengwa kisiri kulingana na uwelekeo fulani.Basi tuzidi kudadisi huenda tukajua baadhi ya siri.
Unajua huu ni kama mjadala wa kulinganisha hiki na kile. Bado nakuambia kwa sasa ni zaidi ya zamaniHamna kitu nenda kasome TARTERIAN EMPIRE
Walifanya cha tofauti na bora, lakini hapa ni kuangalia kwa wingi kulingana na nyakatiWaliojenga pyeramids za Misri unawaweka katika kundi gani?
Kutengeneza curved structures ilikuwa ni matumizi ya deep knowledge na sasa hivi kutengeneza hizi traditional flat sided structures ni shallo knowledge?Walijua kutumia Frequencies kama inavyosemekana
Unajua Frequency zikipigwa na zikavibrate kwenye surface by a Resonance zinatengeneza umbo la kitu furani pale. So kwakutumia mistari au points (Geometrically) kukawa Kunapatikana maumbo mengi tofaut,
Na Frequency ni nyingi, Alaf pia wanasema Boxed structures zina Hali ya kupoteza Energies inside, Hivyo ndo mana Majengo ya zamani yana muundo wa curve or curved pillar ili kutunza Energies...Ni kama vile concept ya kwenye mitungi ya gesi ipo na shape ile na sio with the Angles.
Mkuu Tresor Mandala yuko sawa aisee
So Ni Matumizi ya Deep knowledge vs Shallow
Hapa unataka kuongopa. Yapo majengo yalijengwa zamani hayakudumu kulingana na mjenzi alivyojengaKweli kabisa, mpaka leo bado lipo imara. Haya majengo ya sikuhizi baada ya miaka kadhaa tunaanza kuziba nyufa na viraka vya rangi iliyo liwa na fangus.
Kwenye ufanisi kulinganisha na Sasa hiyo nitakaa kabisa, Sasa hivi una train inahoweza kwenda km 1000 kwa saa, unafikiri bila ufanisi mkubwa ingewezekana vipi? Sasa hivi unaweza tembea kwenye undersea tunnel ya km 50, bila ufanisi ingewezekana vp?Walitumia vitu vingi zaidi ya mawe, lakini ubora wa majengo yao ni jawabu kwamba walikuwa na ufanisi mkubwa.