Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #61
Basi tuzidi kudadisi huenda tukajua baadhi ya siri.Wanasema dunia hii hakuna siri kama utataka kuijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuzidi kudadisi huenda tukajua baadhi ya siri.Wanasema dunia hii hakuna siri kama utataka kuijua.
Kitu kingine ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kwamba, jengo kama hili sisi tunaliona jinsi lilivyo leo.
Yana kioo ni zaidi ya nakshi ambazo zimewekwa kwa mikono ya watu na kwa ustadi mkubwa?kama unaona kioo sio ubunifu basi wewe katika wale washamba wa duniani upo namba 1
HayaWewe hujielewi
Tatizo wanajenga hidden roof kwa kudanganywa na mafundi kuwa ni ujenzi rahisi kumbe hata mafundi wenyewe hawana ujunzi sahihi wa kujenga hizo nyumbaHilo ni sawa na haya majengo ya sikuhizi ambayo juu hayana paa, ndani kunavuja mwanzo mwisho
Ustadi Gani huo naona kama hujielewi majengo ya kawaida sana hivi huu ushamba wa kusifia vitu vya zamani utawaisha lini Sasa kama hayo majengo ni ya kishamba sana naona unayasifiaYana kioo ni sawa na nakshi ambazo zimewekwa kwa mikono ya watu na kwa ustadi mkubwa?
Kweli kabisa, mpaka leo bado lipo imara. Haya majengo ya sikuhizi baada ya miaka kadhaa tunaanza kuziba nyufa na viraka vya rangi iliyo liwa na fangus.Kitu kingine ambacho watu wanashindwa kuelewa ni kwamba, jengo kama hili sisi tunaliona jinsi lilivyo leo.
Pata picha wakati ndio limekamilika, halijapigwa na vumbi, mvua, wala kupaushwa na jua. Lilikuaje?
Wewe jengo likae miaka 100 lanini kwani unaishi milele duniani hapaKweli kabisa, mpaka leo bado lipo imara. Haya majengo ya sikuhizi baada ya miaka kadhaa tunaanza kuziba nyufa na viraka vya rangi iliyo liwa na fangus.
Huu sio ubunifu, ni michezo ya kufurahisha machoUnasema ubunifu hakuna
View attachment 3071259
Nimegundua wewe umekuja kupotezea watu mda kumbe unaongea ujinga huna akiliHuu sio ubunifu, ni michezo ya kufurahisha macho
Una NostalgiaHuu sio ubunifu, ni michezo ya kufurahisha macho
Alafu kuna zile nyumba za uswazi, baada ya miaka kadhaa nyumba inazidi kuzama chini, dirisha linafikia ardhini kabisa.Tatizo wanajenga hidden roof kwa kudanganywa na mafundi kuwa ni ujenzi rahisi kumbe hata mafundi wenyewe hawana ujunzi sahihi wa kujenga hizo nyumba
Nostalgia ni nini mkuu?Una Nostalgia
Hivi unajua uwepo wa hayo majengo ni chanzo kikubwa cha mapato kupitia utalii?Wewe jengo likae miaka 100 lanini kwani unaishi milele duniani hapa
Ielezee kidogo eseje ikawa Ile ya akina eturguru beiHamna kitu nenda kasome TARTERIAN EMPIRE
Hiyo empire au race ndyo ilikuwa chanzo cha ustadi huo kuenea dunia nzima, ndymaana structure za majengo mengi ya zamani zinafanana duniani kote.Hamna kitu nenda kasome TARTERIAN EMPIRE
Walitumia vitu vingi zaidi ya mawe, lakini ubora wa majengo yao ni jawabu kwamba walikuwa na ufanisi mkubwa.Kuna sehemu huku matofali yanatengenezwa na wafungwa tofali zege msumali haupiti halafu kuna sehemu tofali linatengenezwa na wapigaji kitu mchanga wa kutosha ukipiga kofi hakuna tofali hapo yaan lazima majengo yatofautiane zamani walikua wanajenga kwa kutumia mawe kabla ya ugunduzi wa saruji
Zamani na Sasa, Zamani wanachukua point nyingi sababu technology ya Zamani ni technology ya Zamani yaani ni ya Zamani haijachakachuliwaWalitumia vitu vingi zaidi ya mawe, lakini ubora wa majengo yao ni jawabu kwamba walikuwa na ufanisi mkubwa.