Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda haki, usipotenda haki, Mungu atakuwajibisha maana kwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 wewe ni mkuu na hamna wa kukuwajibisha.