Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Jemima hakuna kitu kinampoteza mtu kama siasa, hakuna mtu tuliemtumainia katika taifa hili kama rais samia kipindi kile ana pokea madaraka!Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda haki, usipotenda haki, Mungu atakuwajibisha maana kwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 wewe ni mkuu na hamna wa kukuwajibisha.
Tulimtarajia kama mtu ambaye angetuvusha na kutoweka katika hali ambayo vizazi vingi vingkumbuka.
Maneno kauli nasaha katika hotuba zake kipindi kile zilitia matumaini makubwa sana.
Lakini haikupita mwaka badala yake tumepoteza matumaini na kuwa na majuto na kukumbuka jana, leo tunajilaumu sana kwa comment zetu za hisia za shangwe na furaha wakati wa taarifa zile la msiba, kumbe msiba ulikua ni kwetu leo.
Hii video japo imeundwa na kuongezewa vionjo lakini hakika huyu mheshimiwa hayati ulalika mbele ya wakati!