Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
TUJIKUMBUSHE; TUJADILI.
Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa.
Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume aliyeoa au atakayeoa mwalimu hasa mwalimu wa shule ya msingi atapiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika maisha yao.
Walimu wa kike walisifika kuwa walezi wazuri wa ndoa na uhodari wa kuwabadilisha kitabia waume zao hasa wale walioolewa na wanaume ambao si walimu.
KARIBU TUJADILI:
Je, kuna ukweli wowote?
Je, sifa hii nzuri ipo mpaka Sasa?
Je, wewe una maoni gani katika hili?
Right Marker
Dar es salaam