Rais Samia Suluhu ni mpenda haki and i hope atasimamia haki za wananchi wake ipaswavyoHuu ni ukweli.
Dodoma Matuli na Ndachi Diwani na Mkewe Wameuza Mashamba yenye hati Viongozi wa Jiji nao wamejigawia maeneo yawatu wamepanga maeneo ya vituo vya mafuta mahoteli na kujimilikisha bill kufuata sheria za hatimiliki.
Hatari wizi kama maduka ya kubadili fedha ya Arusha ulivyo fanyika. Waziri waArdhi komaa na jiji la Dodoma ukweli utauona
Hawa wote wakigundulika lazima watawajibishwa maana kikudi cha watu wachche ndio wanaifitinisha serikali ya Rais Samia Suluhu na wananchiHata Gwajima kule jimboni Kawe ni hivyo hivyo tu yuko bega bega na wavamizi wahuni wa maeneo ya watu.
Badala ya kusimama kwenye ukweli na haki anatetea wavamizi wa maeneo ya watu.
Fikiria kuna wananchi wamekopa hela nyingi na wakanunua maeneo yao halafu kikundi cha wahuni wanavamia na kuuza maeneo ya watu [emoji848][emoji848]
Wengine ni wazee wastaafu wamenunua Kwa viinua mgongo vyao halafu wahuni wanavamia na kuuzia watu mbali mbali.
Gwajima wewe ni Mwana wa Mungu unatetea wavamizi wahuni sababu ya kutafuta kupigiwa kura uchaguzi ujao ?
Kwanini utetetee wahalifu ?
Tunajenga jamii ya aina gani?
Hata RC alishaweka wazi kuwa wavamizi wa maeneo ya watu ni wahalifu kama wahalifu wengine kwenye jamii.
Mungu ni mwema atamuongoza Rais Samia Suluhu ili kuendelea kusimamia haki za watanzania wanazozulumiwaMheshimiwa Rais ameongea ukweli kabisa.
Tunategemea achukue hatua sasa stahiki na kuwa encourage watendaji wafanye maamuzi magumu [emoji123]
Mungu ni mwema atamuongoza Rais Samia Suluhu ili kuendelea kusimamia haki za watanzania wanazozulumiwa