ukiinama inageukua nyuma,
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwamba.....
Hasa mimi namtaka wa aina hiimke ambaye ni mama wa nyumbani
Hayo ndio maajabu ya mbususu bana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duuh aisee yamekukuta yapi mkuu, hizi hasira zote kwa wanaume tuu.Wanaume siku hizi hawaeleweki wanataka nini wamekua ka papuchi tu ukikaa mkao flani twende ukiinama inageukua nyuma, jieleweni nyie viumbe na mjiamini.
Sina hasira ni ujinga wanaume kila siku kulalamika Mara kile mara hivi haipendezi wakati nikikua tuliaminishwa nyie vichwa Sasa nukiona huu utopo I ask myself hawa viumbe wamevamiwa au tuliaminishwa virce versaDuuh aisee yamekukuta yapi mkuu, hizi hasira zote kwa wanaume tuu.
Tena ka hotel inayo mkaribisha mgeni mmoja tu pekee lakini mizigo yake aiache njeHayo ndio maajabu ya mbususu bana
Hakuna jinsia isiyo lalamika mkuu, na mtoa uzi kajumuisha wanaume wote ilhali wapo wanawake wenye vipato na wameolewa na hao wachakarikaji kibao wameolewa ni vile tu kua na mitazamo tofauti kuhusu hio ishu sio kwa mwanaume hata mwanamke mwenye kipato kuishi na mwanaume asie na kipato ni ngumu hiyo.Sina hasira ni ujinga wanaume kila siku kulalamika Mara kile mara hivi haipendezi wakati nikikua tuliaminishwa nyie vichwa Sasa nukiona huu utopo I ask myself hawa viumbe wamevamiwa au tuliaminishwa virce versa