Serendipity
JF-Expert Member
- Jan 24, 2009
- 486
- 43
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
what about this one
Ogah BSc (Hons), MSc., PhD. P.E. C.Eng., FICE
Vipi mkuu, mbona umewamaindi mainjinia tu?
Mbona kuna:
Mwalimu Nyerere
Dokta Kashumba
Msomi (Lawyer) Lamwai
Judge Mashenene
why Not: Eng. Chrispin? Hutaki watu wapate maujiko? Hahaha!
Na bado watakuja:
Nurse Maria
Mhasibu John
Linguist Blurei
Mpishi Bahati,
Mwanakwaya Kashumba
Hahaha! People are proud of their proffesions!
inapendeza mkuu, kuitwa Eng so and soNdugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
teh teh teh...hongera...How about,
Eng. Abdulhalim bin Mwalim (Hons) BSc., MPhil., PhD.
Unaweza kuziongeza hizo initials kama umeshakuwa registered as a professional engineer. Kazi ni kuwa registered maana ERB wana mizengwe kweli
Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.Siyo lazima uwe professional pia Graduate Engineers wanasajiliwa na wana haki ya kuitwa Engineers and Write Eng.... before there names Mkuu. Technicians pia wanasajiliwa na ERB na wanapewa mitihani ya kuwa professional Engineers na kupanda grade!
Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.
.Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu unaojulikana sehemu nyingine duniani? (je in developed world ulishasikia kitu kama hiki?)
Kwanini wasitumie initial za Mr.?
Sijui unaeleza kisheria au kwasababu ya uhuru tu wa mtu kulitumia neno Eng. What I know those initials could only be used by registered professional engineers.Graduate engineers wanasajiliwa ila wanatakiwa wafanye kazi kuanzia miaka mitatu na kuendelea katika maeneo ya Design, Workshop/maintenance/Field work na Management na kuandika report ambayo ERB lazima waipitie na kuikubali ili aweze kuwa Professional engineer.Vinginevyo mtu ameamua tu kutumia Eng ingawa sheria haimtambui hivyo.Siyo lazima uwe professional pia Graduate Engineers wanasajiliwa na wana haki ya kuitwa Engineers and Write Eng.... before there names Mkuu. Technicians pia wanasajiliwa na ERB na wanapewa mitihani ya kuwa professional Engineers na kupanda grade!
mnhhh, BSc(Hons) na sio (Hons)BSc, wewe inaonyesha ni kanjanja.How about,
Eng. Abdulhalim bin Mwalim (Hons) BSc., MPhil., PhD.
nakugongea senksi, after three years na mie nitakua Eng. George Porjie, makofi basi pah pah paah pah!.Dah ,naona unabishia kitu usichokielewa,Graduate Engineer haruhusiwi kutumia Initial ya Eng wala hana haki hiyo kisheria, mpaka uwe Proffesional registred,Usiandikie mate wakati wino upo,nenda hapo ERB uulize ujihakikishe.