Sijui unaeleza kisheria au kwasababu ya uhuru tu wa mtu kulitumia neno Eng. What I know those initials could only be used by registered professional engineers.Graduate engineers wanasajiliwa ila wanatakiwa wafanye kazi kuanzia miaka mitatu na kuendelea katika maeneo ya Design, Workshop/maintenance/Field work na Management na kuandika report ambayo ERB lazima waipitie na kuikubali ili aweze kuwa Professional engineer.Vinginevyo mtu ameamua tu kutumia Eng ingawa sheria haimtambui hivyo.
Tukumbuke kuwa professional engineers ndio wanauwezo kisheria kuendorse miradi yenye kuhitaji signature ya engineer kufanyika. Leo hii ukitaka kujenga Ghorofa, hata kama structure engineer wako akiwa ni graduate, ili jiji wapitishe michoro na kukupa building permit, lazima muhuli wa registerd engineer uwepo pale na sio wa graduate engineer.