Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Ndioo ndioooNgoja waje wazee wa mipango watuhabarishe.
Si lazima kabisa kuwa na mipango ili kupata mafanikio, lakini kuwa nayo kunaongeza sana nafasi ya kufanikiwa na kufanya safari yako iwe rahisi.
Ukweli ni kwamba unaweza kufanikiwa hata bila mipango thabiti kupitia fursa za ghafla, bahati, au msaada wa kujuana na watu wenye ushawishi (connections).
Hata hivyo, mafanikio ya namna hii mara nyingi yanakuwa ya kubahatisha na ni magumu kuyadhibiti au kuyadumisha
Utafikaje usipojua unako kwenda ?Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka.
Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu, kuweka akiba au kubadilisha maisha yao kwa namna fulani. Lakini je, kutotimiza mipango hiyo kunamaanisha wameshindwa?
Mimi naomba kuuliza mambo haya mawili ndugu zangu,
Je, kuishi bila mipango kunaweza kumkwamisha mtu kufikia mafanikio yake?
au
Je, ni lazima mtu awe na mipango maalumu ili afanikiwe, au wakati mwingine ni bora kuishi na kwenda na hali halisi ya maisha?
Mhubiri 9 (Biblia Takatifu)Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka.
Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu, kuweka akiba au kubadilisha maisha yao kwa namna fulani. Lakini je, kutotimiza mipango hiyo kunamaanisha wameshindwa?
Mimi naomba kuuliza mambo haya mawili ndugu zangu,
Je, kuishi bila mipango kunaweza kumkwamisha mtu kufikia mafanikio yake?
au
Je, ni lazima mtu awe na mipango maalumu ili afanikiwe, au wakati mwingine ni bora kuishi na kwenda na hali halisi ya maisha?
Ukisikia watu wanasemaNina jamaa yangu Willy, huyu hajawahi kupanga hata kesho anaamkia wapi na atafanya nini? Hana mpango-kazi wa wiki,mwezi achilia mbali mwaka.
SABABU ZAKE: Anasema kila akipanga mipango anaona inavurugika tu,so anaenda randomly akiamini mpangaji ni Mungu.
AJABU: Ana assets za kufa mtu. In short kwenye standards za uswazi ni "tajiri" mwenye uhakika.
Umepata mstari wa kujiteteaMhubiri 9 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
¹¹ Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
Bonge la point yaniUtafikaje usipojua unako kwenda ?
Ndivyo yalivyo mafanikio
Mafanikio ni kipimo chako mwenyewe
Je, wewe ukiwa na sh ngapi unaona umefanikiwa au ukimiliki nini ndiyo unaona umefanikiwa.
In short huwezi kufanikiwa bila kuwa na malengo au
Utajuaje kama umefika usipojua unako kwenda.
kweli kabisaaaMAARIFA, MAARIFA, MAARIFA
ukishawekeza katika maarifa hauewezi jiuliza maswali kama haya.
Mipango ni lazima kama una akili timamu