Gentleman,Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "
Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".
🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!
Sijakataa na endapo ungejipa muda wa kusoma post vizuri ungeelewa namaanisha nini. Sijakataa mtu binafsi kwa utashi wake kujenga nyumba ya ibada, bali nimezungumzia kauli ya Mh. Diwani Manara na nimeinukuu yeye amedai hiyo ni project ya serikali. Ndipo nikauliza je ni kweli serikali inayo hiyo project au ni maneno ya Manara? Na kama ni project ya serikali kweli je hiyo project inahusu na makanisa au ni misikiti tu? Na kama ni misikiti peke yake huoni kuna tatizo hapo? Kwa hiyo nategemea wewe usimame either Manara hayuko sahihi au la.Gentleman,
Mi nadhani ni muhimu sana,
kwa kila muumini wa dini
yoyote ile, kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa nyumba za ibada popote alipo, regardless ya nafasi au status yake serikalini au kwenye utumishi wa umma.
hakuna haja ya kubabaika na mayowe au porojo za wapagani na wasio na dini dhidi ya jenzi za nyumba za ibada 🐒
Na hasa Mh. Manara nashani huyu jamaa anatakiwa awekwe kwenye semina elekezi anolewe hasa juu ya uelewa wake kwenye mambo ya kisiasa na kiuongozi. Ana kitu kinachoitwa " lack of leedership skills". Kuna vitu anakurupuka navyo hasa katika kuongea hajui impact zake.Wanatapatapa tu hawa hakuna lolote
In fact,Sijakataa na endapo ungejipa muda wa kusoma post vizuri ungeelewa namaanisha nini. Sijakataa mtu binafsi kwa utashi wake kujenga nyumba ya ibada, bali nimezungumzia kauli ya Mh. Diwani Manara na nimeinukuu yeye amedai hiyo ni project ya serikali. Ndipo nikauliza je ni kweli serikali inayo hiyo project au ni maneno ya Manara? Na kama ni project ya serikali kweli je hiyo prohect inahusu na makanisa au ni misikiti tu? Na kama ni misikiti peke yake huoni kuna tatizo hapo? Kwa hiyo nategemea wewe usimame either Manara hayuko sahihi au la.
Hilo nalo neno na hasa kwa huyu Ngosha yeye muda wote ni mzee wa furusa.Ikitokea fursa ya upigaji wanajenga fresh, kuja kushtuka kumbe ulikuwa ufadhili wa Saudia Arabia na walitoa cash 😂
Nice, lakini bado unakwepa kidogo, je kwa mjibu wa katiba, sheria, taratibu, kanuni pamoja na miongozo yetu kama taifa la tanzania, je ni sahihi kusema ujenzi wa msikiti ni project ya serikali?In fact,
ikiwa eneo alilopo hicho ni kipaumbele muhimu, bila kuathiri imani za wengine inafaa aongoze namna ya kufanikisha kipaumbele hicho na wahusika.
sidhani ikiwa kuna changamoto yoyote kwenye jambo hilo linalohusu ujenzi wa nyumba za ibada.🐒
kwani kuna mahali huyo mwanasiasa ameihusisha katiba?Nice, lakini bado unakwepa kidogo, je kwa mjibu wa katiba, sheria, taratibu, kanuni pamoja na miongozo yetu kama taifa la tanzania, je ni sahihi kusema ujenzi wa msikiti ni project ya serikali?
Mbona hamkumsema bosi wake alipotangaza kujenga nyumba za ibada mkoa wa Pwani! Hebu tutende haki.Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "
Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".
🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!
Katika MoU ya DP World kilikuwapo kipengele cha kujenga misikiti na watawala wakaridhia kwa kificho. Pengine hii ni sehemu ya utekelezaji wake kwa njia ya mapicha picha kama ya Kihindi.Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "
Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".
🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!
Mkuu usiumize kichwa sehemu yoyote ukiona Bashite anakomaa jua kuna hela inataka kupigwa. Jua tu hivyo.Sijakataa na endapo ungejipa muda wa kusoma post vizuri ungeelewa namaanisha nini. Sijakataa mtu binafsi kwa utashi wake kujenga nyumba ya ibada, bali nimezungumzia kauli ya Mh. Diwani Manara na nimeinukuu yeye amedai hiyo ni project ya serikali. Ndipo nikauliza je ni kweli serikali inayo hiyo project au ni maneno ya Manara? Na kama ni project ya serikali kweli je hiyo project inahusu na makanisa au ni misikiti tu? Na kama ni misikiti peke yake huoni kuna tatizo hapo? Kwa hiyo nategemea wewe usimame either Manara hayuko sahihi au la.

Katika MoU ya DP World kilikuwapo kipengele cha kujenga misikiti na watawala wakaridhia kwa kificho. Pengine hii ni sehemu ya utekelezaji wake kwa njia ya mapicha picha kama ya Kihindi.
Kumbuka no vigumu sana kwa sterling wa movie ya Kihindi kufa kibwege.
Hiyo taarifa sina mkuu!Mbona hamkumsema bosi wake alipotangaza kujenga nyumba za ibada mkoa wa Pwani! Hebu tutende haki.
Kwa hiyo hawataki kusema ukweli wanazunguka.Wewe ndo umeandika ukweli sasa
SAhihi kabisa yule jamaa ni mtu wa maslahi binafsi.Mkuu usiumize kichwa sehemu yoyote ukiona Bashite anakomaa jua kuna hela inataka kupigwa. Jua tu hivyo.