Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

Misikiti kujengwa na serikali huko ni kujipendekeza kwa waislam na ni kupumbaza jamii hii. Msijikiti unasaidia nini, maadili? Kwani wasio waislam hawana maadili? Hata wasioamini dini yeyote wana maadili tosha kwa kuwa ni binadamu. Hii nchi si ya kiislam na haikujengwa hivyo
Na pia ni kujenga chuki kati ya serikali na wakristo au wapagani. Na dhana ya serikali haina dini itakuwa imezikwa kabisa na kuwa na dola ya kiislam Tanzania.
 
Msikiti mkubwa umejengwa dodoma pale karibu na uwanja wa jamhuri, inasemekana ulijengwa na serikali kwa udhamini wa rais wa Libya gadaffi, kwani dodoma yote ni waislamu? Wameslimu? Au ule msikiti uliathiri vipi dini zingine? Mkuu nadhani Kuna kitu tukielewe project kama hizi ni za kawaida na Wala haiwezi kua sababu ya Imani zingine kupata downfall
 
Haukujengwa na serikali bali ulijengwa na rais wa Libya kwa wakati huo. Hatujasema serikali izuie mashirika, watu binafsi au serikali za nje zenye mlengo wa kidini kutoa msaada au ufadhiri wa kujenga nyumba za ibada. Hoja iliyopo hapa ni kwamba ni sahihi kwa mjibu wa taratibu zetu hapa Tanzania serikali kujenga misikiti?
 
Ushenzi huu wa kidini siku hizi hakuna wa kuukemea, wanasiasa wamejinasibisha na uislam. Utakuta mwanasiasa si muumini wa kiislam ila anashadidia mambo ya kiislam yangizwe kwenye system, mambo kama mitaala, uvaaji hijabu mashuleni, kwenye mifumo ya kifedha/benki. Zamani mwanasiasa akionekana anashadidia udini angeweza kukemewa vikali na kuwekwa kando
 
Msikiti mkubwa huo lazima wafadhili kutoka nje wawepo mkuu amini hilo, tunapaswa ujue tunakabiliwa na vikwazo hivo namna ya kupiga hela lazima ibadilike kaka asikwambie mtu sio Kila jambo lazima uwekwe wazi we ishi humo, pesa za COVID-19 zilitumika kwa COVID-19 mkuu?
 
Wewe unasema lakini ukisoma vizuri post inamnukuu Manara kasema ni project ya serikali ndo maana nikauliza ni lini serikali ameanza kuwa na hizi project za kidini? Na je kama kweli ni project ya serikali je vipi kwa upande wa makanisa?
 
Hii Project kama ni ya Serkali ni failure kubwa mno, kujaribu kutatua matatizo kwa kuanzisha tatizo sio njia ya suluhisho, . Sasa ni Serkali mali Msikiti Arusha inanze na kanisa la Morovian, RC, KKKT Msikiti wa Budha na majengo mengine ya Ibada na sidhani kama Freemason wana jengo hapo Arusha .
Pili project hii ya serkali bajeti yake inatokea wapi na kupitishwa na nani? Aibu kubwa
 
Usishangae sana Mr fedha ukipita barabara ya Morogoro - Mikumi kuna mkandarasi anajenga daraja kwenye kamji/kakijiji kanaitwa Doma , lakini pia kando ya hilo daraja amejenga msikiti mkubwa, tulipouliza kwa nini kajenga tu msikiti na siyo Kanisa hakuna jibu la maana tulipewa.

Sasa najiuliza kama Wakandarasi wa tenda za serikali wataonesha upendeleo kwa kujenga nyumba za ibada, haitawezekana kwa watoa tenda kupendelea wakandarasi fulani ili tu kwamba wanajua kuwa nyumba za ibada za madhehebu yao zitajengwa huko kwenye maeneo wanakofanya kazi?
Tafakari
 
Ushenzi huu wa kidini siku hizi hakuna wa kuukemea, wanasiasa wamejinasibisha na uislam. Utakuta mwanasiasa si muumini wa kiislam ila anashadidia mambo ya kiislam yangizwe kwenye system, mambo kama mitaala, uvaaji hijabu mashuleni, kwenye mifumo ya kifedha/benki. Zamani mwanasiasa akionekana anashadidia udini angeweza kukemewa vikali na kuwekwa kando
Umeona chuki zako , ndio maana na sisi hatutaki wakristo kujiingilia mambo yetu ya dini ...Mambo ya dini kila mtu kivyake , tulishakataa hakuna mialiko ya dini . tulikuwa na maana tunawajua wanafiki wakubwa .
 
Usishangae sana Mr fedha ukipita barabara ya Morogoro - Mikumi kuna mkandarasi anajenga daraja kwenye kamji/kakijiji kanaitwa Doma , lakini pia kando ya hilo daraja amejenga msikiti mkubwa, tulipouliza kwa nini kajenga tu msikiti na siyo Kanisa hakuna jibu la maana tulipewa.

Sasa najiuliza kama Wakandarasi wa tenda za serikali wataonesha upendeleo kwa kujenga nyumba za ibada, haitawezekana kwa watoa tenda kupendelea wakandarasi fulani ili tu kwamba wanajua kuwa nyumba za ibada za madhehebu yao zitajengwa huko kwenye maeneo wanakofanya kazi?
Tafakari
Nyie si mnapewa ruzuku 😛😛
 
Sisi tunajiamini , mnatuogopa maana lazima mpige umbea ..Sisi hatupindishi nyie mna tabia za kinafiki , nimekaa kanisani nawajua vizuri .
Tumefundishwa kukaa mbali na shetani na wafuasi wake. Hatuwaogopi.
 
Tumefundishwa kukaa mbali na shetani na wafuasi wake. Hatuwaogopi.
Wanafiki nyie , wauaji wa kujificha , mabepari ...Sisi tunasikia mkijitamba ila kwetu hatuogopi hizo ni drama zenu .
 
Wanafiki nyie , wauaji wa kujificha , mabepari ...Sisi tunasikia mkijitamba ila kwetu hatuogopi hizo ni drama zenu .
Naona unadhihirisha ushetani uliokujaa hata katika lugha yako
 
Naona unadhihirisha ushetani uliokujaa hata katika lugha yako
Nyie ndio mashetani wakubwa , nyie viongozi wako wanakutana na shetani live ..Wavaa vipedo , matapeli wa kuchukua pesa za mafukara ili kuishi maisha ya kitajiri , kaangalie nan ni shetani kama sio nyie .
 
Naona tu jamaa ni kama anapenda sana kujipendekeza na kutafuta cheap popularity, ila katika nchi ambayo ni secular state sioni kama ujenzi wa nyumba za ibada inapaswa kuwa state priority huo utakuwa ni uwendawazimu hasa ikizingatiwa taifa letu lina dini nyingi tofauti, je? haiwezi kuleta hisia mbaya za kuona Kuna upendeleo kwa watu wa Imani zingine? hata kama Kuna sponsorship imetoka kutoka nchi fulani yenye dini hiyo naona ilipaswa kuwa coordinated na wahusika wa Imani hiyo kwasababu naamini wana taasisi zao na mamlaka zao, ila kama ni kwa kutumia Kodi za wavuja jasho ambao ni wa dini tofauti basi naona ni muendelezo wa serikali yetu pamoja na viongozi wake kukosa priorities na hii ndiyo inapelekea maisha ya mwananchi wa kawaida na kero za kimsingi kama maji, umeme , miundombinu bora nk kuendelea kuwa kizungumkuti kutokana na kuwa na viongozi wasiojali na kujua vipaumbele vyao ni nini hasa
 
Waislamu wana misikiti karibu kila mtaa. Sidhani kama moja ya mahitaji adimu ya Waislamu ni Misikiti.
 
Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "
Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".

🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!
Ni awamu hii tuu ambapo nchi inaongozwa toka Zanzibar, Zanzibar ni nchi ya kiislam.
 
Back
Top Bottom