Na pia ni kujenga chuki kati ya serikali na wakristo au wapagani. Na dhana ya serikali haina dini itakuwa imezikwa kabisa na kuwa na dola ya kiislam Tanzania.Misikiti kujengwa na serikali huko ni kujipendekeza kwa waislam na ni kupumbaza jamii hii. Msijikiti unasaidia nini, maadili? Kwani wasio waislam hawana maadili? Hata wasioamini dini yeyote wana maadili tosha kwa kuwa ni binadamu. Hii nchi si ya kiislam na haikujengwa hivyo
Nyani haioni kunduleHiyo taarifa sina mkuu!
Haukujengwa na serikali bali ulijengwa na rais wa Libya kwa wakati huo. Hatujasema serikali izuie mashirika, watu binafsi au serikali za nje zenye mlengo wa kidini kutoa msaada au ufadhiri wa kujenga nyumba za ibada. Hoja iliyopo hapa ni kwamba ni sahihi kwa mjibu wa taratibu zetu hapa Tanzania serikali kujenga misikiti?Msikiti mkubwa umejengwa dodoma pale karibu na uwanja wa jamhuri, inasemekana ulijengwa na serikali kwa udhamini wa rais wa Libya gadaffi, kwani dodoma yote ni waislamu? Wameslimu? Au ule msikiti uliathiri vipi dini zingine? Mkuu nadhani Kuna kitu tukielewe project kama hizi ni za kawaida na Wala haiwezi kua sababu ya Imani zingine kupata downfall
Msikiti mkubwa huo lazima wafadhili kutoka nje wawepo mkuu amini hilo, tunapaswa ujue tunakabiliwa na vikwazo hivo namna ya kupiga hela lazima ibadilike kaka asikwambie mtu sio Kila jambo lazima uwekwe wazi we ishi humo, pesa za COVID-19 zilitumika kwa COVID-19 mkuu?Haukujengwa na serikali bali ulijengwa na rais wa Libya kwa wakati huo. Hatujasema serikali izuie mashirika, watu binafsi au serikali za nje zenye mlengo wa kidini kutoa msaada au ufadhiri wa kujenga nyumba za ibada. Hoja iliyopo hapa ni kwamba ni sahihi kwa mjibu wa taratibu zetu hapa Tanzania serikali kujenga misikiti?
Wewe unasema lakini ukisoma vizuri post inamnukuu Manara kasema ni project ya serikali ndo maana nikauliza ni lini serikali ameanza kuwa na hizi project za kidini? Na je kama kweli ni project ya serikali je vipi kwa upande wa makanisa?Msikiti mkubwa huo lazima wafadhili kutoka nje wawepo mkuu amini hilo, tunapaswa ujue tunakabiliwa na vikwazo hivo namna ya kupiga hela lazima ibadilike kaka asikwambie mtu sio Kila jambo lazima uwekwe wazi we ishi humo, pesa za COVID-19 zilitumika kwa COVID-19 mkuu?
Umeona chuki zako , ndio maana na sisi hatutaki wakristo kujiingilia mambo yetu ya dini ...Mambo ya dini kila mtu kivyake , tulishakataa hakuna mialiko ya dini . tulikuwa na maana tunawajua wanafiki wakubwa .Ushenzi huu wa kidini siku hizi hakuna wa kuukemea, wanasiasa wamejinasibisha na uislam. Utakuta mwanasiasa si muumini wa kiislam ila anashadidia mambo ya kiislam yangizwe kwenye system, mambo kama mitaala, uvaaji hijabu mashuleni, kwenye mifumo ya kifedha/benki. Zamani mwanasiasa akionekana anashadidia udini angeweza kukemewa vikali na kuwekwa kando
Nyie si mnapewa ruzuku 😛😛Usishangae sana Mr fedha ukipita barabara ya Morogoro - Mikumi kuna mkandarasi anajenga daraja kwenye kamji/kakijiji kanaitwa Doma , lakini pia kando ya hilo daraja amejenga msikiti mkubwa, tulipouliza kwa nini kajenga tu msikiti na siyo Kanisa hakuna jibu la maana tulipewa.
Sasa najiuliza kama Wakandarasi wa tenda za serikali wataonesha upendeleo kwa kujenga nyumba za ibada, haitawezekana kwa watoa tenda kupendelea wakandarasi fulani ili tu kwamba wanajua kuwa nyumba za ibada za madhehebu yao zitajengwa huko kwenye maeneo wanakofanya kazi?
Tafakari
Tukilipiza msilie lieNyie si mnapewa ruzuku 😛😛
Sisi tunajiamini , mnatuogopa maana lazima mpige umbea ..Sisi hatupindishi nyie mna tabia za kinafiki , nimekaa kanisani nawajua vizuri .Tukilipiza msilie lie
Tumefundishwa kukaa mbali na shetani na wafuasi wake. Hatuwaogopi.Sisi tunajiamini , mnatuogopa maana lazima mpige umbea ..Sisi hatupindishi nyie mna tabia za kinafiki , nimekaa kanisani nawajua vizuri .
Wanafiki nyie , wauaji wa kujificha , mabepari ...Sisi tunasikia mkijitamba ila kwetu hatuogopi hizo ni drama zenu .Tumefundishwa kukaa mbali na shetani na wafuasi wake. Hatuwaogopi.
Naona unadhihirisha ushetani uliokujaa hata katika lugha yakoWanafiki nyie , wauaji wa kujificha , mabepari ...Sisi tunasikia mkijitamba ila kwetu hatuogopi hizo ni drama zenu .
Nyie ndio mashetani wakubwa , nyie viongozi wako wanakutana na shetani live ..Wavaa vipedo , matapeli wa kuchukua pesa za mafukara ili kuishi maisha ya kitajiri , kaangalie nan ni shetani kama sio nyie .Naona unadhihirisha ushetani uliokujaa hata katika lugha yako
Ni awamu hii tuu ambapo nchi inaongozwa toka Zanzibar, Zanzibar ni nchi ya kiislam.Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "
Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".
🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!