Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

Nyie ndio mashetani wakubwa , nyie viongozi wako wanakutana na shetani live ..Wavaa vipedo , matapeli wa kuchukua pesa za mafukara ili kuishi maisha ya kitajiri , kaangalie nan ni shetani kama sio nyie .
Huna hoja ya kunipinga. Naona unaprove niko sahihi. Mmejaa ushetani vifuani mwenu ndiyo maana unalipuka tu kama mabomu.
 
Huna hoja ya kunipinga. Naona unaprove niko sahihi. Mmejaa ushetani vifuani mwenu ndiyo maana unalipuka tu kama mabomu.
Kwani uliona wapi nataka makubaliano na wewe au najisafisha ..Hakuna muda wa kujadili na kuelewana , kila mtu ana imani yake ..Hakuna dini mseto , baki na unavyoamini.
 
Wewe unasema lakini ukisoma vizuri post inamnukuu Manara kasema ni project ya serikali ndo maana nikauliza ni lini serikali ameanza kuwa na hizi project za kidini? Na je kama kweli ni project ya serikali je vipi kwa upande wa makanisa?
Watafute mtu wa kuwasemea mkuu, masheikh wanaomba, nilipo kua geita tuliokua na project ya kujenga msikiti wa ghorofa pale mjini msikiti wa ijumaa, tulikubaliana kushirikisha wadau mbalimbali ikiwemo serikali na mgodi wa GGM.

UnApo enda kuomba ufadhili wa msikiti mkubwa kama huo lazima BARAKA ya serikali iwepo kaka, msikilize haji manara vizuri, kutumia neno wadhamini au wafadhili hapo saudia na uae zimelengwa hao hawawezi toa pesa kwa taasisi au mtu kinyemela lazimas serikali ibariki ili uaminiwe mkuu mbona kitu ni kidogo ila tunakuza mambo
 
Manara kasema ni project ya serikali labda tubadili maneno aliyosema tuseme mengine tofauti ili kuondoa ukakasi. Unaposema ni project ya serikali maana yake suala la huo ujenzi wa msikiti uko kwenye mipango na bajeti ya serikali.
 
Huenda hiyo ilikuwa kwenye masharti au vigezo vya kupewa tenda kama DP-WORD ilivyoweka kipengele cha kujenga misikiti. Nchi imekuwa rasmi dola ya kiislam.
 
Mumechelewa sana kuligundua Hilo.
Hizo pesa zingetumika kwa vijana ,wanawake, walemavu na wazee
 
Exactly ili pesa itoke, vinginevyo hakuna atakae toa pesa
Manara kasema ni project ya serikali labda tubadili maneno aliyosema tuseme mengine tofauti ili kuondoa ukakasi. Unaposema ni project ya serikali maana yake suala la huo ujenzi wa msikiti uko kwenye mipango na bajeti ya serikali.
 
Ukijaribu kuangalia Mkoa wa Arusha una idadi ndogo sana ya waislamu kuliko mikoa mingine.
Makonda anajipendekeza kwa Rais.
Wala ahangaiki na priorities za watu wa Arusha.
Kujenga Muslim chapel pale Arusha ni kujaribu kumfurahisha Rais.
Hii tabia inakua sana.
Kupeleka kila mechi Zenji ni kumfurahisha Rais.
Mawaziri wote kuishia kizimkazi kwenda kucheza miziki (watu wazima) ni kulekule kujaribu kumfurahisha Rais.
Manispaa ya Arusha haina Stendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…