Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana.

Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi kwenye vijiji.., video chini ina maelezo ya kina sana.

Mkuu huko mbali sana, wameshindwa kutengeneza sindano, tooth pick, sahani, bakuli, vikombe, vijiko, nyembe ndiyo waweze hicho cha pikipiki!
 
Tz imeelaaniwa, ukianza uzalishaji kwa sproketi,

chap chap TRA ndiyo wa kwanza kutia mguu badala ya kosteki au dtbi
Inabidi tuziangalie hizi sera zetu za tozo, tozo sio jibu, tuviwezeshe viwanda vidogo vidogo vikue badala ya kukomalia kuvitoza tozo
 
Wakijaribu tu hata kupanga mikakati, wale wakubwa wenye biashara, miradi na tender zao za uagizaji, lazima wawatunishie misuli haswa. Vita ya uchumi ni mbaya sana.
Ahsante mkuu una jicho la 🦅. Kuna watu wanapeana tenda za kuagiza bidhaa fulani yaani wanaamua Bei gani iuzwe badala ya kuruhusu wenye uwezo waagize. Mfano mwendokasi Ile njia wangeruhusu wenye uwezo wakununua Yale mabasi wanunue njia iyo hapo.
Wao Ni kulipa Kodi tu. Reli ikamilike watu wanunue behewa sio kupeana kiswahiba.
Kama bodi ya tanesco kuwekamo mtt wa baresa sijui akasomea nishati ,ndio Mambo ya wanayojiita wa mjini
 
Kwa mwendokasi naona waruhusuxkila mwenye pesa ya kununua basi kubwa anunue, ila pawe na limit ya muda wa kupakia na kushusha. Mtu akiona abiria wamekuwa wachache mfano mchana, anapaki hadi jioni
 
Yaani Wana uchumi wa kijamaa Ila kwa nje Inaonekana Ni uchumi huru.
Halafu hii ya kutoa gesi yetu na kumilikisha jamaa bandari kwa miaka 99 bila ya kukaguliwa. Kwani wawekezaji wengine wanaotaka iyo bagamoyo ama Ni hao akina ji ping
 
Itabidi Veta iongozwe kwa malengo na kwa lazima. Najua vyuo vya Veta vipo maeneo mbalimbali ndani ya nchi yetu, Sasa kinachotakiwa Kila kituo kipewe kazi ya kufanya kwa muda maalumu( hapa wasisahau kuwawezesha) na wakishindwa kutimiza timua timu nzima ya uongozi. Mfano Veta mkoa Fulani waambiwe kabisa ndani ya miaka miwili waweze kuzalisha hizo sprocket na wakifanikiwa basi hiyo technology wapewe na wengine
 
Kabisa, wawekewe malengo na wapewe muda wenye kikomo, kama ni miaka miwili na ikaisha bila kuijua vizuri hiyo technology ya kuzalisha sproketi, basi watimuliwe wote wawekwe wapya
 
Ahsante mkuu una jicho la 🦅. Kuna watu wanapeana tenda za kuagiza bidhaa fulani yaani wanaamua Bei gani iuzwe badala ya kuruhusu wenye uwezo waagize. Mfano mwendokasi Ile njia wangeruhusu wenye uwezo wakununua Yale mabasi wanunue njia iyo hapo.
Wao Ni kulipa Kodi tu. Reli ikamilike watu wanunue behewa sio kupeana kiswahiba.
Kama bodi ya tanesco kuwekamo mtt wa baresa sijui akasomea nishati ,ndio Mambo ya wanayojiita wa mjini
Mchongo mjini. SGR & JNHPP tayari za ndanindani zinasema wakubwa wanadai ni miradi ya hasara kubwa kwa taifa.
 
Kenya inawezekana (small industry / juakali) wanafanya vizuri sana.
ila kwa tanzania never
 
Nchi hii ni ya kichuzi na wakata mauno tu

Ova
 
Tanzania tuna shida mahali. Hivyo uwezekano wa kutengeneza hizo sprocket, kiufupi tu haupo.
 
Usije ukaanzisha kabla ya kuongea na TRA.
 
Back
Top Bottom