Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

Tz imeelaaniwa, ukianza uzalishaji kwa sproketi,

chap chap TRA ndiyo wa kwanza kutia mguu badala ya kosteki au dtbi
Nahisi ikitokea vita TRA watakuwa watakuwa frontline kukusanya chochote watozonia tupate kula
 
Sisi tupo lolote tukanunue kilicho tayari kuliko kununua mashine inayotengeneza.
sababu tanzania ukisema utengeneze hapa utakutana kodi lukuki mpaka kiwanda kitakushinda
 
Back
Top Bottom