K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Jan 22, 2023 #21 dronedrake said: Tz imeelaaniwa, ukianza uzalishaji kwa sproketi, chap chap TRA ndiyo wa kwanza kutia mguu badala ya kosteki au dtbi Click to expand... Nahisi ikitokea vita TRA watakuwa watakuwa frontline kukusanya chochote watozonia tupate kula
dronedrake said: Tz imeelaaniwa, ukianza uzalishaji kwa sproketi, chap chap TRA ndiyo wa kwanza kutia mguu badala ya kosteki au dtbi Click to expand... Nahisi ikitokea vita TRA watakuwa watakuwa frontline kukusanya chochote watozonia tupate kula
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 22, 2023 #22 Sisi tupo lolote tukanunue kilicho tayari kuliko kununua mashine inayotengeneza. sababu tanzania ukisema utengeneze hapa utakutana kodi lukuki mpaka kiwanda kitakushinda
Sisi tupo lolote tukanunue kilicho tayari kuliko kununua mashine inayotengeneza. sababu tanzania ukisema utengeneze hapa utakutana kodi lukuki mpaka kiwanda kitakushinda