secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi?
Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya chuo kiasi cha kufanya manii pamoja na uchafu mwingine utokanao na kupelekeana mioto kutapakaa katika magodoro na magodoro hayo ndiyo yatakayokuwa yakitumiwa na fist year.
Wasomi wa siku hizi wamekuwa vichwa maji, wamekuwa na upeo mdogo mno na tumekuwa tukiwalaumu Kila kukicha bila kuangalia tatizo ni nini.
Binafsi nahisi tatizo kubwa ni kwamba ule mchanganyiko wa harufu kali ya miaka na miaka itokanayo na shahawa pamoja na uchafu mwingine usiomithilika kwenye vitanda wanavyolalia vyuoni ndio unaoathiri ubongo wa wasomi wa siku hizi. Kama taifa tunatakiwa kuliangalia hili Kwa kina.