Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuoa ?

Habari ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea 25 Nina kipato changu kizuri naitaji kuoa
Huku Jamii Forum Kuna wasomi na watu makin
je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mwanamke wakatiwa kuoa nisije kukusoea

Ndoayangu Inshallah Mwezi wa 5
Upendo wa kweli
Maono take
Madhaifu yake
Background take
Familia take
Imani yake nk
 
Kwanza umejiridhisha na Upendo wa huyo mchumba, na pili awe mcha Mungu na cha mwisho uwe na pesa au mahitaji muhimu ya kujikimu kama familia kabla hujaenda kuomba msaada nje.
 
Kila la kher ikawe kher
Ndo Haina mfumo maalum hata ukipata hiyo bikra kama mtu anatabia zake binafsi pamoja na ww mambo hayataenda
Bado unamsomesha???
 
Unaeza ukawa na kipato kizuri ila bado hujakomaa kihisia na kisaikolojia kuweza kuishi na mke.

Subiri angalau miaka mingine angalau Minne au mitano ndo uoe coz hapo utakuwa umekomaa vizuri.Don't rush bro ndoa sio lelemama
 
Apana kak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…