Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuoa ?

Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuoa ?

kama umeshaingia kwenye ndoa hakuna tena ushauri
pambana!
 
Kabla ya kuamua kuoa unatakiwa uiangalie familia ya Mwanamke,roots ya wazazi wake au familia yake,huko ndio utapata picha kamili,

Familia ya alipotokea ni muhimu zaidi na ndio kitu cha kwanza kukifuatilia,

Anzia hapo kwanza.
 
Jipe chance ya kutembelea ukweni, ukifika hakikisha baba na mama mkwe wapo.

Kisha chunguza mienendo ya mama mkwe mbele ya mumewe.

Kama utakaa muda mrefu kuna mambo mengi utajifunza na kisha utaondoka na jibu lako.
 
Zingatia awe na tako la size la kuvalia nguo tu na kupendeza lisiwe kubwa sana

Awe na k yenye maji ila yasiwe mengi sana

Ajue kupika

Awe na chuchu,ili mtoto mtakae mzaa asipate tabu kunyonya

Awe na heshima na asiwe ropo ropo,akusikilize

Ajue kakiingereza hata kidogo

Awe mmbeya ili akusaidie kujua kinachoendelea mtaani

Asitoke familia masikin sana

Asiwe mwana ccm

Awe anaweza kukaa na nywele kwa mwezi mzima ndo anasuka zingine
 
Unaeza ukawa na kipato kizuri ila bado hujakomaa kihisia na kisaikolojia kuweza kuishi na mke.

Subiri angalau miaka mingine angalau Minne au mitano ndo uoe coz hapo utakuwa umekomaa vizuri.Don't rush bro ndoa sio lelemama
Ana nyege huyo
 
Back
Top Bottom