MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Oa mwanamke mwenye kwao na aliyelelewa na wazazi wake wote wawili katika makuzi yake, epuka kuokota hao waliopanga mageto mjini huko wengi wanakasoro zao.
Muweke ndani.Ni mrefu
Nimetoa bikra mwenyew kaka
Labda kaitoa janaKosa kubwa sana hilo, ungemuoa ndo umtoe bikra. Hapo unachapiwa mdogo wangu. 😊
Labda kaitoa jana
Wajuba mna kabia juu kwa juu.Kosa kubwa sana hilo, ungemuoa ndo umtoe bikra. Hapo unachapiwa mdogo wangu. 😊
Nime pewa kadi ya harusi, madogo ni age 18 kwa 17 nika waambia sipendi upumbavu.Miaka 24 unataka kuoa. Hapa ni sawa na kuondoka club saa mbili usiku.
25 too youngMiaka 25 unaoa?
😅😅😅 Upo serious kakaChagua demu mweusi na mrefu, mweupe atakuhangaisha sana na mfupi akichepuka haonekani.
Namaanisha.Upo serious kaka
Ana nyege huyoUnaeza ukawa na kipato kizuri ila bado hujakomaa kihisia na kisaikolojia kuweza kuishi na mke.
Subiri angalau miaka mingine angalau Minne au mitano ndo uoe coz hapo utakuwa umekomaa vizuri.Don't rush bro ndoa sio lelemama