Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
hahahahha kumbe mtani umeshamjua bw mdogo yuleOscar usimtilie maanani yule akipewa mpunga anapuyanga maneno tu kwenye page yake.
makolo watakufa msimu huuu!waache kukariri maisha!!YANGA hii sio ya miaka minne nyuma!!una Aucho, Bangala, Fei toto, Mayele etc unategemea kushindwa kweli???
Wanachekesha hao ujue. Mikia FC bana.Aisee mashabiki wa Mikia ndio mmefika hapa?mlianza na hela za GSM kuwa zinanunua timu,mkaja kukamiwa,mkaja udhamini sasa hivi mpo kwenye Maruhani ya Kiarabu. Mwaka huu mtakufa kwa trauma.
View attachment 2093544
Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina.
Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu.
Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa ushirikina na ulozi hawajambo. Je, ni ya kweli yanayosemwa kwenye mitandao!? Eti ni kweli kocha anatumia maruhani, kwamba kwenye nchi za kiarabu ameshindwa kutokana na kwamba wote wanayajua!?
Mimi yangu hayo machache nimeyasikia kwenye mitandao.
Jiwe alituharibia manjo wetu akampaisha mo ukwaju sasa kinaenda kuelewekaaa[emoji23][emoji23] jiesemu fo evelibademakolo watakufa msimu huuu!waache kukariri maisha!!YANGA hii sio ya miaka minne nyuma!!una Aucho, Bangala, Fei toto, Mayele etc unategemea kushindwa kweli???