Je, ni masharti gani umewahi kupewa na mpenzi wako mpaka ukajiuliza huyu ananichukuliaje?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Katika harakati za kujenga uchumi wa kati (mapenzi) tunakutana na matatizo mengi kiasi kwamba hadi unaona huna nyota kabisa.

Binafsi niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kishua sana ....ilini save sana financially japo ilikuwa na masharti magumu sana lakini kwa kuwa nilikuwa napitia kwenye economic hardship nilikubali kuendana na mdundo wa ngoma kwa mda fulan .....lkn masharti yalinishinda na yalikuwa kama ifuatavyo.

1). Kila baada ya masaa mawili lazima nimpigie simu na nisipo Fanya hivo basi nitatishiwa kuachwa na sanctions za kutosha.

2) Marufuku ku post status za vichekesho ....hapa yaani ilibidi kila nikitaka kuweka status basi ilibidi nimuweke yeye status .......nikaona huu ni ujinga acha nile kona[emoji23][emoji23]. Lakini kumbuka nilikula kona baada ya kuwa vizuri kiuchumi.

Wanaume tutafute pesa........

Share Kisa chako........tuisindikize siku hii special ya 9/ December r
 
2) Marufuku ku post status za vichekesho ....hapa yaani ilibidi kila nikitaka kuweka status basi ilibidi nimuweke yeye status
Yaani navyopenda kupost ujinga status mbona kazi ipo
JamiiForums-2037744037.jpeg
 
Katika harakati za kujenga uchumi wa kati (mapenzi) tunakutana na matatizo mengi kiasi kwamba hadi unaona huna nyota kabisa.

Binafsi niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kishua sana ....ilini save sana financially japo ilikuwa na masharti magumu sana lakini kwa kuwa nilikuwa napitia kwenye economic hardship nilikubali kuendana na mdundo wa ngoma kwa mda fulan .....lkn masharti yalinishinda na yalikuwa kama ifuatavyo
Ulitakiwa upige game za maana usingepewa masharti hata fedha pia angekupa bila kuomba.
 
Ananuka ng'onda ***** na anataka u lick m pussy wake nilikuwa nilijotoa akili mara ya kwanza sababu ya kuachwa maana alikuwa na chura bora unipige uninyanyase kuliko kutopenda mwanamke mwenye chura

Nilipiga mswaki mpka na majivu siku nyengine anakuja nikaanza kumchezea na vidole kwa bibi aisee utasema nimekoroga zege la mavi yalionyeshewa na mvua au nimefukua maiti nilihairisha game ...nataka nikanawe mikono maji yamekatika
......
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ungempeleka hospital
 
Back
Top Bottom