Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Katika harakati za kujenga uchumi wa kati (mapenzi) tunakutana na matatizo mengi kiasi kwamba hadi unaona huna nyota kabisa.
Binafsi niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kishua sana ....ilini save sana financially japo ilikuwa na masharti magumu sana lakini kwa kuwa nilikuwa napitia kwenye economic hardship nilikubali kuendana na mdundo wa ngoma kwa mda fulan .....lkn masharti yalinishinda na yalikuwa kama ifuatavyo.
1). Kila baada ya masaa mawili lazima nimpigie simu na nisipo Fanya hivo basi nitatishiwa kuachwa na sanctions za kutosha.
2) Marufuku ku post status za vichekesho ....hapa yaani ilibidi kila nikitaka kuweka status basi ilibidi nimuweke yeye status .......nikaona huu ni ujinga acha nile kona[emoji23][emoji23]. Lakini kumbuka nilikula kona baada ya kuwa vizuri kiuchumi.
Wanaume tutafute pesa........
Share Kisa chako........tuisindikize siku hii special ya 9/ December r