Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
Kama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni;

1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na bunduki ya mabomba ya mipapai.

2. Komborela

3. Mpira huku magoli yakiwa ndala au mawe.

Je, wewe ulikuwa unapenda michezo gani?
 
1. Kibaba na mama
2. Kombolela
.
.
.
3. Baada ya kukua kidogo nikahamia kwenye mpira wa miguu!!!
 
Daaah umenikumbusha mbali sana,
PS 1, Nintendo 64, Game Boy, Sega Genesis....
Nyie mtakuwa mmezaliwa miaka ya tisini na kuendelea.sisi wa themanini kurudi nyuma hakukuwa na vitu hivyoo. Lazima ucheze baba na mama au kombolela au utengeneze bunduki za mabomba ya mipapai au mpira alimaarufu cha ndimu nowadays
 
My childhood ilikuwanga totally Awesome.... kabisa katika hiyo ya kujificha yani unakimbia kujificha na yule unaye mu admire eeh na mkifikanga hukoo, hamtokiii , yani kama hujafanya hii kitu kwa kweli utakuja fanya Ukubwani kutwa kuchepuka asee
 
No 2,3 ndy ilikua the best kwang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…