Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

yani mkiwa watoto mnzani hamtoachana kumbe ni kudanganyana tu[emoji23] [emoji23]
 
Game Boy unaondoka na betri kumkomoa mtu.

Wakati ule ilikuwa inauzwa 1500.
Wew hamna gameboy inayouzwa 1500 hizo zilikua brick game ,, game boy zilikua Bei sana kipnd kile Na Mpaka Saivi
 
mtaani kwetu tulikuwa tunatumia mawe na matofali katika kuluka sarakasi yani unaweka tofari juu ya jiwe dizaini flani hivi ya mteremko halafu vijana mnajipanga sasa ilikuwa ni noma
 
n
[emoji23][emoji23][emoji23] spesheli za kanisani mkuu!!! Tena zipo kabatini kwa mama, unapewa jumapili asubuhi, ukirudi unazirudisha
nguo za spesho ilikuwa kuvaa mpaka kwenda kanisani au skukuu baada ya hapo zinarudishwa kabatini halafu nguo unaweza ukanunuliwa hata wiki tatu kabla ya skukuu ila kuzivaa mpaka hiyo skukuu ifike tena mida ya mchana kabisa.
 
n
nguo za spesho ilikuwa kuvaa mpaka kwenda kanisani au skukuu baada ya hapo zinarudishwa kabatini halafu nguo unaweza ukanunuliwa hata wiki tatu kabla ya skukuu ila kuzivaa mpaka hiyo skukuu ifike tena mida ya mchana kabisa.
Wazazi wetu bana!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] afu nakumbuka kulikuaga na ile "hakiombeki"
Mtu anannua kitu afu anakuwahi hakiombeki
unanunua chipsi kabla ya kula unasema hakiombeki ili usizungukwe au usiombwe na mtu yoyote yule utoto ulikuwa raha sana.
 
Nimemiss sana mpira wa utotoni. Jioni watoto kibao mnakujikusanya, afu mnaanza 'kujigawa' au huyu anaita huku mwingine huku. Wasiojua mpira wanabaki mwishoo [emoji23][emoji23]
Watu wakiwa wengi sana inapigwa 'timu kutoka', mkifungwa mnatoka.
Kama timu moja ikiwa pungufu mnaambiwa mtu akija anaingia kwenu afu gemu inaendelea kama kawa. Utoto bana
 
au panga pangua
 
Kwenye panga pangua timu 1 inaweza kubahatika ikawa na mafundi wengiii
Njia nzuri ni ile ya kuchagua. Viongozi wawili wa timu wanapokezana kuchagua... Sasa hapo ndo unajua uhodari wako. Kulikua na watu wanakataliwa adi huruma! Mi walikua wananikataa kwenye rede [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…