Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?


Hapana vilikuwepo tokea 70's sema tu hapa kwetu Bongo vimechelewa kuingia na vilikuwa adimu sana.
Mpaka leo hii mimi na ukubwa wangu nacheza sana tu. Kipenda roho mkuu
 
Aiseee mimi utotoni nimecheza michezo yote. Kujipikilisha, baba mama, kuchezesha vitoto, kombolela, dama, senta, namsaka mke wangu, kucheza mabunduki, mpira kombe ikiwa pakti moja ya karang. My favourite play ulikua GOROLI mpaka leo nikiwaona watoto wanacheza natamani namm niombe namba
 
kamari enzi hizo , nikiwa kama na miaka 9 hivi class 4 daah ilikuwa , nyoko kitaaa hasa kuanzia mitaa ya argentina, NACOOZ, beach boyz .....mpaka tandale ilikuwa burudani balaa nishapiga sana ela za dukani huu mchezo ulikwa , balaaa dau tsh 10 , ...daah umenikumbusha mbali sanaa wana wa Naccoz Camp , sadali camp
 
We ulikua sio wa uswazi..sie wa uswazi izo games tulizijulia ukubwani .....
uswazi ilikuwa kombolela,dama,michezo ya kujipikilisha hapo kukiwa na baba na mama,kukimbizana,ukuti ukuti,rede,mpira na mingine mingi tu.
 
hii kitu kama ulikuwa huna shabaha bora uache kucheza tu.
 
Kucheza michezo ya kuwa tunajifucha wa wili wa wili maicha na mvulan
 
hapo kwenye kombolela nilikuwa noma sana,
ule muda mumejificha ukouko mnajifunza mchezo mbaya na mchumba wako
 
hapo kwenye kombolela nilikwa noma sana,
ule muda wa kujificha mnajifunza mchezo mbaya ukouko wewe na mchumba wako tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…