MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nyie mtakuwa mmezaliwa miaka ya tisini na kuendelea.sisi wa themanini kurudi nyuma hakukuwa na vitu hivyoo. Lazima ucheze baba na mama au kombolela au utengeneze bunduki za mabomba ya mipapai au mpira alimaarufu cha ndimu nowadays.
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Hapana vilikuwepo tokea 70's sema tu hapa kwetu Bongo vimechelewa kuingia na vilikuwa adimu sana.
Mpaka leo hii mimi na ukubwa wangu nacheza sana tu. Kipenda roho mkuu