Magoti yangu yalijaa majipu mikono ikajaa sugu na muchubukohii kitu kama ulikuwa huna shabaha bora uache kucheza tu.
Umenikumbusha mbali sana, nilikua na mgauni huo. Nkivaa kila mtu anataka niwe Upande wake.Loo..l hii ilikuwa ya wote kweli wote wa kiume na wakike humohumoo, mmoja akidaka wote mnatakiwa mgande
Hahaha.. Nataman kurud ukoLoo..l hii ilikuwa ya wote kweli wote wa kiume na wakike humohumoo, mmoja akidaka wote mnatakiwa mgande
Hahaha.. Nataman kurud uko
Umenikumbusha mbali sana, nilikua na mgauni huo. Nkivaa kila mtu anataka niwe Upande wake.
dhaaaa ebwana eeeeeh
Yule Doto wako ndio mimi.....[emoji39] [emoji39]Me nilipenda kucheza komborela yan tulikua tunagegedana huko Sema namkumbuka sana mme wangu wa utoton doto [emoji23][emoji23]
Mchezo wa kuchungulia wakina dada mtoni wakioga
1. Kibaba na mama
2. Kombolela
.
.
.
3. Baada ya kukua kidogo nikahamia kwenye mpira wa miguu!!!
My childhood ilikuwanga totally Awesome.... kabisa katika hiyo ya kujificha yani unakimbia kujificha na yule unaye mu admire eeh na mkifikanga hukoo, hamtokiii , yani kama hujafanya hii kitu kwa kweli utakuja fanya Ukubwani kutwa kuchepuka asee
Game boy 1500 mkuu? Au ulimaanisha brick gameGame Boy unaondoka na betri kumkomoa mtu.
Wakati ule ilikuwa inauzwa 1500.