choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Kombolela nlikua napenda kujificha huko maeneo na mtu halaf sirud tena nawaachia mchezo wao mi nafanya yngu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Mchezo wa kuchungulia wakina dada mtoni wakioga
85 kuja miaka hii.Com kivipi?
Ohooooo......Kwa avatar yako nimekukana hadharani baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daka gandarede ya wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Loo..l hii ilikuwa ya wote kweli wote wa kiume na wakike humohumoo, mmoja akidaka wote mnatakiwa mgande
NdioOhooooo......
Kumbe hiyo avatar ndio wewe...[emoji39] [emoji39]
Basi sawa.....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ndio
All of the above....
Sinto waita (Mkuu) tena, maana ninyi nyote niwa siku za .com[emoji16] [emoji16]
Game boy 1500 mkuu? Au ulimaanisha brick game
Halafu mnajenga na kakibanda kaungo na kweli huku pembeni kukiwa natuvyombo twakujipikilisha ilikuwa ninoma aiseeBaba na mama. . nautamani mpaka leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
noma sana ulikuwa hutaki kupoteza chanceKibaba na kimama nikiwa mtoto sichezi
kuogelea kwenye mabwawa ukirudi home mtu umepauka hatari wazazi wakishajua kichapo chake utajuta yani.Si wengne tulikuwa kipindi cha transition kombolela/kamfichamo, kuogelea kwenye mito na kufinyanga magari na vidoli vya udongo kidogo na vi game vya brick, super Mario, NFS 2,video game....
yani imebidi nisome twice ndio nikaelewa ulichokiandika duu.OK ninoma San mm mmenikub xhabali xan daaaa