Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Kombolela nlikua napenda kujificha huko maeneo na mtu halaf sirud tena nawaachia mchezo wao mi nafanya yngu
 
Baba na mama. . nautamani mpaka leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si wengne tulikuwa kipindi cha transition kombolela/kamfichamo, kuogelea kwenye mito na kufinyanga magari na vidoli vya udongo kidogo na vi game vya brick, super Mario, NFS 2,video game....
kuogelea kwenye mabwawa ukirudi home mtu umepauka hatari wazazi wakishajua kichapo chake utajuta yani.
OK ninoma San mm mmenikub xhabali xan daaaa
yani imebidi nisome twice ndio nikaelewa ulichokiandika duu.
 
Back
Top Bottom